Hivi hawa Bibi na Bwana afya wapo?
Migahawa ya Tanzania ni michafu sana na hao wapishi wenyewe ni wachafu mno. Hatukatai haki za watoto lakini kwa nini mtu mwenye mtoto mdogo asiejiweza aruhusiwe kufanya biashara ya chakula?
Mtoto mdogo anakunya, mama ntilie anamtawaza muda huohuo keshaenda kupakua chakula tena hajanawa na sabuni hapo ikitokea magonjwa ya milipuko inakuaje kwa mfano.
Vitu vingine tungeni sheria ndogo ndogo zinazoambatana na adhabu, piteni mara kwa mara kukagua usafi mkikuta dosari waandikieni faini hiyo itasaidia kuboresha huduma.
Bibi afya na Bwana afya nadhani ni kundi la watu wasio na kazi ndio maana ni walevi sana, hata kukagua mazingira ya makazi usafi wake ukoje hakuna unakuta mapori kwenye makazi ya watu, pita piga faini uone kama hawatofanya usafi huko majumbani.