Kuna mmoja yupo pale sgd mjini kati kibanda cha torobali ya blue nlikua napita mtoto wake kama miaka miwili anakunya pembeni daaah hatariiii SanaUnaweza kua na njaa ikaisha ghafla
We Acha tuu watu wanafanya kugombea[emoji23][emoji23] haki tena Mungu atunusuru. Alafu unakuta chakula ni kitamu balaa na kesho unarudi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni mgodin geita
Angalau chips ni salama kiasi ila usiwekewe kachumbari wala chachandu wala zile nyanya za chupa. Nyanya ya chupa unakuta pale juu pamejaa inzi na nyanya yenyewe imetiwa maji. Maji gani wameweka? Maji hayo ni salama? Tomato ikishatiwa maji usalama wake ukoje? Life span ya uhifadhi inakuwa imevurugwa.[emoji125][emoji125]Hivi hawa Bibi na Bwana afya wapo?
Migahawa ya Tanzania ni michafu sana na hao wapishi wenyewe ni wachafu mno.
Hatukatai haki za watoto lakini kwa nini mtu mwenye mtoto mdogo asiejiweza aruhusiwe kufanya biashara ya chakula?
Mtoto mdogo anakunya, mama ntilie anamtawaza muda huohuo keshaenda kupakua chakula tena hajanawa na sabuni hapo ikitokea magonjwa ya milipuko inakuaje kwa mfano.
Vitu vingine tungeni sheria ndogo ndogo zinazoambatana na adhabu, piteni mara kwa mara kukagua usafi mkikuta dosari waandikieni faini hiyo itasaidia kuboresha huduma,
Bibi afya na Bwana afya nadhani ni kundi la watu wasio na kazi ndio maana ni walevi sana , hata kukagua mazingira ya makazi usafi wake ukoje hakuna unakuta mapori kwenye makazi ya watu, pita piga faini uone kama hawatofanya usafi huko majumbani.
Hayo ndio usisemeNaskia Wengine wanapikia maji waliyotawazia ili kuongeza soko
Ndio zao hizo wamezidi uchafuu sanaHayo ndio usiseme
Nenda feri pale uone unavogombaniwa.sasa iman zimekua haba,watu tunalishwa uchafu sana. Mfano feri ukienda usipomwangalia vizuri sahan iliyotoka kuliwa anaisuuza maji machafu kabisa yan anatoa tu kile chakula kilichobaki anaanza kukupakulia wewe.ukimfokea kussuza sahan anasusa.labda ndio masharti yao
Aisee hili ni balaa, kweli chakula bora kiandae mwenyewe nyumbani. Mijitu mingine mingine inakera sana sijui shida ndio elimu ama nini. Yaani mifuko ya plastic mtu anafunikia wali, wengine wanatumia kuchemshia ugali. Aisee watanzania tuamke, kamwe hatuwezi kujenga taifa letu kama hatuna afya njemahalafu cha ajabu chakula chao kama wali wanafunikia nailon ili iwive wakati nailon kemikali yake inaingia kwenye wali kwa ajili ya lile joto na husababisha cancer kwa walaji ndio maana cancer imekuwa nyingi, mabibi afya wapo mabwana afya wapo wao wanakimbilia hoteli kubwa ili kukagua wapate rushwa
Bora ungeend kwa mama claree.Kuna mmoja yupo pale sgd mjini kati kibanda cha torobali ya blue nlikua napita mtoto wake kama miaka miwili anakunya pembeni daaah hatariiii Sana
Ndan ameweka benchi watu wanakula
Halafu mvua zinanyesha
Watu wa afya wanakula viyoyoz
Wanamatumbo kubwaaa kama viroba hawata kwenda kwenye eneo la tukio
Kipindu pindu kikija ndiyo wanajifajya wapo busy
Huwa ugal ukishakatwa unatiwa ndan ya nailon unawekwa kwenye sufuria ya moto.yan kama tupo GomaAisee hili ni balaa, kweli chakula bora kiandae mwenyewe nyumbani. Mijitu mingine mingine inakera sana sijui shida ndio elimu ama nini. Yaani mifuko ya plastic mtu anafunikia wali, wengine wanatumia kuchemshia ugali. Aisee watanzania tuamke, kamwe hatuwezi kujenga taifa letu kama hatuna afya njema
Aisee kuna kipindi wakati nipo mbeya huko maeneo ya Airport ya zamani mtaa wa maendeleo ilikuwa kila nikienda kula ugali tumbo lilikuwa ninajaa gas balaa yaani unaweza kujaza taili la trekta walah, yaani nilikuwa siwezi kukaa dakika 3 bila kujamba.Hakuna chakula hapo ni takataka tupu,ugali wanatia hamira mboga ndio zile ya hovyo yani ni uchafu mtupu kuanzia chakula hadi wapishii.
Nlikua napita njian macho hayana paziaBora ungeend kwa mama claree.
Kachumbari inavyoandaliwa utashangaa.imagine! Anamtawaza mtoto na kucha zake ni ndefu bila kunawa kwa kutumia sabuni, anaadaa kachumbari!!
Hapa naona unachanganya mambo. Kichwa cha habari umezungumzia Mama Ntilie, lakini ulivyoanza utangulizi umehamia kwenye migahawa na umezungumzia uchafu wa wapishi kwa ujumla bila kusema ni wachafu kwa vigezo gani.Hivi hawa Bibi na Bwana afya wapo?