Kwa uchafu wa mama ntilie wa Tanzania, Bibi na Bwana Afya wako likizo?

Baadhi ya mabibi Afya wa wilaya ya Ilala wako bize na biashara zao. Si ajabu na wao wakapata kipindupindu wakiwa bize kwenye kuchuuza bidhaa zao. Inasikitisha.

Kuna bibi afya mmoja anauza supu ya kongoro buguruni darajani sijui kama hajaacha au kupata kipindupindu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…