LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwa tume hii hata wajipange usiku kucha ccm itatawala milele...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakimbizi hawawezi kuwa na ushawishi, jipangeni vizuri, tunahitaji upinzani thabiti kwa maendeleo ya nchi. Hata katiba ikibadilishwa bado chadema kinahitaji kujipangaTume iwe huru na katiba mpya iwepo mezani kabla ya uchaguzi. Hao wabunge wenu wanaopita bila kupingwa hawana ushawishi kwa wananchi.
Kama ambavyo wanamwambia mtu wa Handeni Kwamnele mwenye dhiki ya maji Dawasa ilivyofanikiwa kusambaza maji Dar au wanavyojenga barabara, na kujenga fly-overs kwa mtu wa Mahenge anayenusurika kuliwa na mamba kwenye mto!!!Tunawatu wajinga saaana...kwahivyo uwanja huo kujengwa ndiyo tumemaliza matatizo?? Kwa mawazo haya kama we si under 14 basi pole kwa kudumaa
Hawata ruhusu hilo na kukwiba watakwiba😆Tume iwe huru na katiba mpya iwepo mezani kabla ya uchaguzi. Hao wabunge wenu wanaopita bila kupingwa hawana ushawishi kwa wananchi.