Wakimbizi hawawezi kuwa na ushawishi, jipangeni vizuri, tunahitaji upinzani thabiti kwa maendeleo ya nchi. Hata katiba ikibadilishwa bado chadema kinahitaji kujipanga
Kama ambavyo wanamwambia mtu wa Handeni Kwamnele mwenye dhiki ya maji Dawasa ilivyofanikiwa kusambaza maji Dar au wanavyojenga barabara, na kujenga fly-overs kwa mtu wa Mahenge anayenusurika kuliwa na mamba kwenye mto!!!