Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Wakuu habari za Leo?,Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu,nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.View attachment 1574593
Huyo ndo Loketo.

Anajua kuburudisha na si kujenga hoja zinazovuta kura
 
katika wagombea wapuuzi huyu ni no 1,aliyempiga risasi hizo hajulikani labda hata ni wenzie huko huko kwake kwa kujifanya mjuaji namn hii leo
Wanyturu wanasifika kwaa kuuza matogwa na uchafu mwingi sana kwa chakula huu ni uchafu.
huyu tunaambiw ni mwanasheria ngunguli hajui hata sheria ya kumkosea heshima JPM hadharani ambaye bado ana miaka mi5 hewani iliyosajiliwa anamalizia kwa kuteleza tu,
huyu mgombea karata yake sijui Ubelgiji alikoenda matibabu miezi 12 tu anajifanya anajua kila kitu Ulaya nzima huku kuna wanasiasa wana miaka 30+ hawana story na Africa wala siasa zake washakata tamaa.
Mwacheni tu akimaliza hii porojo ataomba ten ukimbizi kwmba ni sias zinamuandama then apewe visa na familia yake.
sidhani kama kuna kingine anataraji zaidi ya hicho,
Mpuuzi ni mgombea aliyemgawa mama yake kwa sababu ya jogoo
 
Leta hapa za jiwe! halafu utulinganishie! Hivi unafikiri ni kwa nini jiwe anakimbia mdahalo? Ni vizuri tuwakutanishe tuwachambue uelewa wa sera zao! kama hututapata chekechea anayeogopa hata kusafiri kwa sababu ya kichwa box huku akisingizia anabana matumizi!
Mdahalo sio kipimo cha kiongozi, bali mtu anaweza kuwa mzuri sana kuzungumza lakini akawa zero kwenye kutenda. Je umewahi kumwona Professor aliyeweza uongozi, lakini ana uwezo kujenga hoja.
 
Jiandaeni tu kuwa wapinzani. Na hata mkijipendekeza kwa Raisi Tundu Antiphas Lissu kumbukeni kuwa kwa Lissu hakutakuwa na ajira za rushwa na kujipendekeza na udc na urc
Sina muda wa kujipendekeza kwa kibaraka wa wazungu,kazi niliyonayo inanitosha,ukumbuke kuwa Lissu kuwa rais labda jua libadili uelekeo,liwe linachomoza toka kusini kwenda kaskazini
 
Kura ni siri, kwanini mnapenda kuwasemea wapiga kura?Kura yako ni moja tu, usiwasemee wengine.
Kwamba kuna aliyetumwa na Mabeberu, kwahiyo hao Mabeberu watakuja kupiga kura au unamaanisha nini mkuu?
 
Wakuu habari za Leo?,Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu,nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.View attachment 1574593

Acha Hila
 
From Magufuli side I see a tyranny of numbers.
I don’t know who the Chadema propagandists are in social media platforms — but they are good. Damn good. They say money can buy anything, except love. I guess they are right.

But I have a feeling the good people of Tanzania will be celebrating in October. Magufuli is kilometers ahead in on the nation’s coveted prize.
Dah...japo sijui kikatoliki kama TL anavyotunanga...nimeokota kidogo [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina muda wa kujipendekeza kwa kibaraka wa wazungu,kazi niliyonayo inanitosha,ukumbuke kuwa Lissu kuwa rais labda jua libadili uelekeo,liwe linachomoza toka kusini kwenda kaskazini
Sasa aliyemponya risasi 16 anaenda kutumiza hilo. Subiri uone.
 
Back
Top Bottom