Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Wakuu habari za Leo?,Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu,nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.View attachment 1574593
Kwanza hutaki awe rais ila unataka awe mumeo?
 
Dharau mbaya eeeenh, mbona MWENYEKITI

Dharau mbaya eeeenh mbona MWENYEKITI wetu kawadharau sana wenyeviti walomtangulia na jitihada zao???????
 
Tarehe 28 mwezi ujao asubuhi, Magufuli tutamrudisha chato akapumzike. Rais ajaye ni Lissu.
 
Tanzania ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi. Huu ni mwaka was uchaguzi na kikatiba vyama vyote vilivyosajiliwa kisheria vina haki ya kuweka wagombea.
Pia raia wote wana haki ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa.
Hata hivyo, kumekuwepo na wapumbavu wengi wanaobeza wagombea na vyama vyao badala ya kuwapinga kwa hoja za kisera. Hali hii ni mbaya sana kwa mustakabali wa taifa.
 
Chadema people should recite albert's definition of Insanity...
 
Lazima CCM mtage mwaka huu!! Huyo ndo mteule wa Mungu Tundu Antiphas Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!
Mteule wa mabeberu siyo watanzania baada ya uchaguzi atarudi ubeligiji kumalizia dozi na matibabu Lisi amekuja tz kuchemsha uchaguzi tu...ndo maana hata ilan ya chadema hainadi..
N
 
Wakuu habari za Leo?,Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu,nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.View attachment 1574593
Tena kwa kura nyingi sana za kimbunga. Hsijawahi toka na hamtaamini. Kimsingi wengi ambao nimewahoji Mimi Hutaji LSO ni kubadili Chama Tawala tu. Hakuna zaidi.
 
Mzee wangu mimi ni Ccm ila tuache ushabiki,mambo kwa ground ni tofauti saana...hali mbayaa mzee wangu...ndani moto unawaka, nje moto unawaka kwelikweli...
 
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

Nadhani kuna watu wamelogwa na kunywa maji ya bendera ya kijani na aliyewaloga kafa, sasa sijui nani atawatoa huko. Watu wenye heshima zao na elimu zao wamekuwa mazezeta yaani. wamekuwa watumwa ndani ya nchi yao ndo wanaita uzalendo. Ukija na mawazo mbadala unaitwa beberu. so pityful
 
Kwaiyo wewe shida yako ulitaka Lissu amsifie jiwe?

Wapi magufuli ameshawahi kuwasifia wapinzani kwa juhudi zao za kuibua ufisadi mkubwa unaofanywa na CCM?
 
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

Leta mdahalo halafu mpambanishe na mgombea wako ndio uje na hoja hapa.

Hapo tutajua nani anajua kujenga hoja, na mwenye sera nzuri nk.
 
Njaa zako zisikufanye ukose akili wee mataga hizo juhudi zilizofanywa na awamu ya tano mnazokaririshwa ni zipi wakati hakuna ajira,maisha magumu biashara ngumu Kodi kubwa, mshahara haupandi ni zipi hizo jinga wewe
 
Leta mdahalo halafu mpambanishe na mgombea wako ndio uje na hoja hapa.

Hapo tutajua nani anajua kujenga hoja, na mwenye sera nzuri nk.
JPM hawezi kufanya midahalo na mtu mwenye faili milembe,utakuwa ni kumdhalilisha rais mteule
 
Back
Top Bottom