digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
- Thread starter
- #81
Sasa kama hujui shughuli zangu yanini kuniambia habari za chai?Kwa uchumi upi? Kwa kazi ipi? Kwa biashara ipi unayoifanya? Kwa mshahara upi? Labda wewe ni mjumbe[emoji57]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama hujui shughuli zangu yanini kuniambia habari za chai?Kwa uchumi upi? Kwa kazi ipi? Kwa biashara ipi unayoifanya? Kwa mshahara upi? Labda wewe ni mjumbe[emoji57]
Wajumbe huwa hawakosi majibu.umejitahidi kujibu mkuu.Sasa kama hujui shughuli zangu yanini kuniambia habari za chai?
HaswaaaaaaWakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.
Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.
Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.
Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.
CHADEMA maisha yenu magumu,kama mtu unafikikisha 25+ bado unawaza chai ujue kunasehemu unakwama,mimi kwa umri wangu sio mtu wa kuwaza chai tena,nawaza nifungue miradi gani itakayonipatia pesa zaidiWajumbe huwa hawakosi majibu.umejitahidi kujibu mkuu.
Ugumu wa maisha ulianzia kwa wajumbe kula na kulala bure. Kalipe mkopo wa HESLB kwanza kabla hujaanza kubuni mradi mkuu.wakati unabuni mradi ukumbuke pia kuwajulisha TRA wakupatie TIN number Ili wakutambue na wakutembelee utambue umuhimu wa box la kura Oct.CHADEMA maisha yenu magumu,kama mtu unafikikisha 25+ bado unawaza chai ujue kunasehemu unakwama,mimi kwa umri wangu sio mtu wa kuwaza chai tena,nawaza nifungue miradi gani itakayonipatia pesa zaidi
wakati ww ukisakunya tushakupangusa nya na unakula mpobodo tenaUnajinyea tu mwaka huu
Kazi mnayoKumzidi wa kwenu maana alivyokaa ni muigizaji wa kutosha
Pamoja sana, tunataka huyu kibaraka wa mabeberu arudi ubeligiji na kuwaambia mabwana zake kuwa watanzania hawatoi kura kwa kigezo cha hurumaHuku kwetu kigoma tumechinja tayari.
Wa chadema yeye ana nini zaidi ya kuhubiri ushoga na uporaji Mali za umma?Mgombea wa CCM hana la zaidi ya ndege na madaraja...
Watu wapo hoi kimaisha wewe anawaambia mambo ya kununua ndege.
Izo Mara nne zote Bora ungeenda kubeti tu huenda ungeambulia kapesa kidogoWakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.
Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.
Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.
Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.
Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.
Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.
Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.
Mkuu unatafuta matusi ya bure, mwache Lissu na style yake ya campaign.Kama ulipata nafasi ya kuhudhuria mara nne bila shaka uliwaona baadhi ya makamanda ungeweza kuwapa maoni yako.Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.
Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.
Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.
Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.
Well doneWewe kama husikii anachokisema kwa kutumia matundu yamasikio ya kawaida jaribu kutumia tundu lingine utaelewa kwamaana muili unamatundu mengi
Alichokisema kwamfano leo kgm
1katiba mpya
2 uhuru
3 wote waliovunjiwa nyumba kulipwa
4 waliotolewa kazini bilakulipwa atawapa
5 walio chomewa nyavu kulipwa
Sasa ujasikia nini ulitaka aseme magu na ccm wote nawafunga au watakimbia nchi ndoungesema lisu kapiga serakweli
Wenzio ss wavuvi tunashangilia wewe vp bana kura yako mpe lisu niyeye
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Mara nne zote hizo ukimfuatia nini Kama siyo unampenda.
Ni yeye
Mkeka umeshachanika.Tarehe 28 tunaweka tiki kwa Lissu!
Acha kutufokea mkuuFrom Magufuli side I see a tyranny of numbers.
I don’t know who the Chadema propagandists are in social media platforms — but they are good. Damn good. They say money can buy anything, except love. I guess they are right.
But I have a feeling the good people of Tanzania will be celebrating in October. Magufuli is kilometers ahead in on the nation’s coveted prize.
Funika upumbavu wako mkuu . Nchi hii siyo sehemu ya mtaa wenu unatusemea maneno yenye ujinga mwingi kiasi hiki .Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.