Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

Alaumiwe Mbowe aliyetuletea mgombea chizi
 
Attachments

  • FB_IMG_1600539696466.jpg
    FB_IMG_1600539696466.jpg
    30.5 KB · Views: 1
Funika upumbavu wako mkuu . Nchi hii siyo sehemu ya mtaa wenu unatusemea maneno yenye ujinga mwingi kiasi hiki .
Wewe ndo mpumbavu wa kutupwa unanikata kuwasemea raia bado kwenye maandishi yako umesema neno unatesemea wewe nani? Wewe si ndo umejiweka kasisari wa kuwasemea wengine?

Pole sana mkuu,dubwana lissu hatoboi mwaka huu
 
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

bora lisu kuliko hilo lishamba lingine.
 
Ni stress tu, siasa za Bongo haijui vizuri, kuna tofauti kubwa kati ya siasa na uana arakati. Zito analijua hilo vizuri.
 
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

Mtu asiejulikana
 
None sense
 
Jiandaeni tu kuwa wapinzani. Na hata mkijipendekeza kwa Raisi Tundu Antiphas Lissu kumbukeni kuwa kwa Lissu hakutakuwa na ajira za rushwa na kujipendekeza na udc na urc
Kama unajali sana hisia zako na afya yako ya akili, Jitahidi ukubali Lissu hawezi kushinda. Na kama leo unaweza kuwaza Lissu anaweza kushinda jee 2015 uliamini nini? na imani yako ilikuwa kwa kiwango gani wakati wa Lowassa 2015? Pole sana.
 
Tunasubiri tarehe 28/10/2020 kwa hamu sana ili tumchinjie baharini msaliti Lissu ili arudi kwao Ubelgiji.
Lissu ataambulia mabua safari hii. Hana
Tarehe 28 mwezi ujao asubuhi, Magufuli tutamrudisha chato akapumzike. Rais ajaye ni Lissu.
Mtu mwenye kulalamika, mwenye jazba, mwenye kukosoa asiwe na mbadala wa kosa, mwenye kuchangisha maskini ili wasikilize matusi na porojo zake, hafai kuwa kiongozi.
 
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

yawezekana kuna mengi yanayomfanya asishinde uchaguzi mwaka huu, ila kikubwa zaidi ambacho kitafanya akose 20% ya voters ni kwa sababu lowassa hayupo chadema: na hili alilisema mwenyewe,

in simple terms tutegemee matokeo ya kawaida kama kipindi cha nyuma! asilimia 20% kushuka chini
 
Wewe ndo mpumbavu wa kutupwa unanikata kuwasemea raia bado kwenye maandishi yako umesema neno unatesemea wewe nani? Wewe si ndo umejiweka kasisari wa kuwasemea wengine?

Pole sana mkuu,dubwana lissu hatoboi mwaka huu
dont panic , ujinga na upumbavu havitengani sana usiving'ang'anie kwa nguvu vitakutawala
 
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.

Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.

Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.

Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.

Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.

Ndio maana ni muhimu sana kuji uliza kama kuna njia mbadala nzuri zaidi kuliko kilicho tekelezwa na serikali ya awamu ya tano. Safari ya uongozi ni ngumu sana, kuna ku shindwa, kuna ku dharaulika, kuna ku teseka ili watanzania wote wanu faike kwa njia moja au nyingine. Tunapo kemea kitendo cha Tundu Lissu kupigwa risasi kumi na sita ni vyema pia kwa wote ku elewa kwamba huo ndio uongozi. Kilicho tokea ni bahati mbaya, hamna aliye penda, ila na yeye asi egemee sana kwenye kutumia kilicho tokea kwenye kuomba kura kwa wananchi
 
Ni kweli ,anapotumia swala la risasi huku akidharau juhudi za serikali ya awamu ya tano anawakwaza sana raia wapenda maendeleo
 
Back
Top Bottom