Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Huyo ndo Loketo.

Anajua kuburudisha na si kujenga hoja zinazovuta kura
 
Mpuuzi ni mgombea aliyemgawa mama yake kwa sababu ya jogoo
 
Mdahalo sio kipimo cha kiongozi, bali mtu anaweza kuwa mzuri sana kuzungumza lakini akawa zero kwenye kutenda. Je umewahi kumwona Professor aliyeweza uongozi, lakini ana uwezo kujenga hoja.
 
Jiandaeni tu kuwa wapinzani. Na hata mkijipendekeza kwa Raisi Tundu Antiphas Lissu kumbukeni kuwa kwa Lissu hakutakuwa na ajira za rushwa na kujipendekeza na udc na urc
Sina muda wa kujipendekeza kwa kibaraka wa wazungu,kazi niliyonayo inanitosha,ukumbuke kuwa Lissu kuwa rais labda jua libadili uelekeo,liwe linachomoza toka kusini kwenda kaskazini
 
Kura ni siri, kwanini mnapenda kuwasemea wapiga kura?Kura yako ni moja tu, usiwasemee wengine.
Kwamba kuna aliyetumwa na Mabeberu, kwahiyo hao Mabeberu watakuja kupiga kura au unamaanisha nini mkuu?
 

Acha Hila
 
Dah...japo sijui kikatoliki kama TL anavyotunanga...nimeokota kidogo [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina muda wa kujipendekeza kwa kibaraka wa wazungu,kazi niliyonayo inanitosha,ukumbuke kuwa Lissu kuwa rais labda jua libadili uelekeo,liwe linachomoza toka kusini kwenda kaskazini
Sasa aliyemponya risasi 16 anaenda kutumiza hilo. Subiri uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…