Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Anautaka urais kwa kutanguliza huruma za kupigwa risasi ,na bado katumwa na mabwana zake na fadhira kwao ni raslimali za nchi yetu
Acha ubwege wewe Tambua kuwa hasaki huruma kwani bila wewe kumpiga risasi asingekuwa huko Belgium, wewe ndiyo umetumwa na mabwana zako kutengeneza propaganda za kishamba shamba eti rasilimali za Nchi yetu? Nchi ipi yako? Nchi ya wote inaamini CCM ni mfirisi wa Taifa bila CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa China, German, America, India, Korea,Japan UK Oman na nyinginezo tajiri na Tanzania ingekuwa kwenye G5 na kuwa na kura ya veto, lakini chini ya CCM Nchi imefirisika, pesa nyingi inapotelea kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa ikiwemo kuwabambikia kesi kudidimiza demokrasia na uonevu mwingi.
 
JPM hawezi kufanya midahalo na mtu mwenye faili milembe,utakuwa ni kumdhalilisha rais mteule
Wewe mwenyewe ni mgonjwa milembe unawezaje kujua mgonjwa asiyepo hapo Hosptal ulipolazwa?acha kutetea uteuzi wako kubali ukatae huyo mtukufu hawezi mdahalo hata na mzee Rungwe tu
 
CHADEMA maisha yenu magumu,kama mtu unafikikisha 25+ bado unawaza chai ujue kunasehemu unakwama,mimi kwa umri wangu sio mtu wa kuwaza chai tena,nawaza nifungue miradi gani itakayonipatia pesa zaidi
Ugumu wa maisha umeletwa na CCM baada ya kuiba rasilimali zite Nchini
 
Hivi inakuwaje mwenyekiti wa chama cha majimbo haonekani katika kampeni? Tumeanza kusoma tu kuwa kachukua milioni 50 za michango ya kampeni. Kuna nini kinaendelea huko?
 
Wewe mwenyewe ni mgonjwa milembe unawezaje kujua mgonjwa asiyepo hapo Hosptal ulipolazwa?acha kutetea uteuzi wako kubali ukatae huyo mtukufu hawezi mdahalo hata na mzee Rungwe tu
Liambieni dubwasha lenu likafanye midahalo na watu wa milembe kule lilikokimbia faili,kwanini lilazimishe kufanya midahalo na jpm tu,kwani mgombea urais ni magufuli tu,si kuna rungwe,lipumba nk.

Ona hapa anajikuna matako
 
Haya kila mmoja aseme mapungufu ya mwenzake, naanza na mapungufu ya CCM, la kwanza ni kudidimiza demokrasia kudidimiza maendeleo kutumia pesa za viwanda zote kwenda kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, kutafuna trilion 1.5 kienyeji kisha kumtoa kafara CAG ununuzi wa Ndege kujaa ufisadi miradi yote mikubwa kujaa 10%.za wajanja wachache huko CCM
 
Liambieni dubwasha lenu likafanye midahalo na watu wa milembe kule lilikokimbia faili,kwanini lilazimishe kufanya midahalo na jpm tu,kwani mgombea urais ni magufuli tu,si kuna rungwe,lipumba nk.

Ona hapa anajikuna matako View attachment 1576014
Huko milembe umelazwa na Ndungai? Maana aliwahi kusema ana file lake huko? Kaa huko utibiwe upone acha kulazimisha uwambukize ukichaa wako watu wengine
 
Mimi huenda nabishana na mtu mwenye matatizo ya akili si kwa pumba kama hizi mkuu
 
Kuna haja gani ya CHADEMA kutumia mamilioni kwenye kampeni za uchaguzi huku wakijua kuwa ccm inabebwa na tume pamoja na vyombo dola?
Kampeni ni lazima na sasa mungu yupo na tarehe 28 October Malaika atazuia ushetani wa Tumeccm ndipo ya Malawi Congo kenya ghana Gambia yataenda kutokea Tanzania
 
Mimi huenda nabishana na mtu mwenye matatizo ya akili si kwa pumba kama hizi mkuu
Wewe mwenyewe pumba huna Akili hata ya kupigia mswaki unawezaje kubishana?acha kuvuta Bangi kisha kujidanganya una Akili nani kakuambia una Akili? au wavuta Bangi unaokesha nao gheto?
 
Kwa uelewa wako mgombea wa CCM anaweza kushinda uchaguzi huu bila mbeleko hii?
 
Mimi huenda nabishana na mtu mwenye matatizo ya akili si kwa pumba kama hizi mkuu
Kwa upeo wako kiduchu unadhani kutetea udhalimu wa utawala wa awamu ya tano ni Akili? Wapo wapi akina kange lugola? Yupo wapi aliyekuwa RPC wa Arusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…