Kwa ufaulu huu diploma naenda kozi za afya?

Joined
Feb 14, 2022
Posts
62
Reaction score
95
Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E

Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi???

Natanguliza shukran za dhat wakuu 🙏🙏🙏
 
Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita 2024/25 yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E

Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi???

Natanguliza shukran za dhat wakuu 🙏🙏🙏
 
Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E

Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi???

Natanguliza shukran za dhat wakuu 🙏🙏🙏
Diploma ya afya mostly ni miaka 3.

Kwa matokeo hayo, una Principal moja ya Geography na hizo pass zako.

Kama ulifaulu vyema kidato cha nne, katika masomo ya Physics, Chemistry, Biology na Mathematics basi uwezekano wa kwenda Diploma ni Mkubwa.

Tumia zaidi ufaulu wa kidato cha nne kuliko wa kidato cha sita.

At the mean time, relax. Usiogope kuwa hujapata matokeo ya kuridhisha. Una nafasi ya kubutua mwa mara nyingine.

Nakutakia kila la kheri.
 
Diploma ya afya mostly ni miaka 3.

Kwa matokeo hayo, una Principal moja ya Geography na hizo pass zako.

Kama ulifaulu vyema kidato cha nne, katika masomo y Physics, Chemistry, Biloloyy na Mathematics basi uwezekano wa kwenda Diploma ni Mkubwa.

Tumia zaidi ufaulu wa kidato cha nne kuliko wa kidato cha sita.

At the mean time, relax. Usiogope kuwa hujapata matokeo ya kuridhisha. Una nafasi ya kubutua mwa mara nyingine.

Nakutakia kila la kheri.
Ahsante 🙏 mkuu,,o level Nina B masomo ya phy,chem,bio ,na math Nina C,Geo c
 
2yrs imepotea buree, tumia cheti cha 4m 4 uende Dip,
Poleeee sanaa mdogo etu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom