Mwafrika Halisia
Member
- Feb 14, 2022
- 62
- 95
- Thread starter
- #61
Ahsante 🙏🙏Kuna kozi chache Sana zilibahatika ingia NACTE chungulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante 🙏🙏Kuna kozi chache Sana zilibahatika ingia NACTE chungulia
Mshahara mmoja kwa gvt ila Radiology atapata faida zifuatazo.Ok so mtu wa radiology na co kwa dip means differ salary? Au kozi ipi no marketable kwa Sasa kwa upandd wa Afya kwa dip level?
Asante kak,,vip mkopo kwa diploma naweza kuapplyUnaanzia dip 3 yrs means unapiga 2/1
Na kwa Sasa naona dirisha la NACTE lilifungwa toka tr 30 June,2024 labda Kama wali fanya extension otherwise apply privateAhsante 🙏🙏
Diploma ni miaka 3, cheti ni miaka 2 vyuo vingi vinatoa miaka 3 diploma omba kozi nzuri ukiwa Tanzania sasa Diploma ya Radiography (DDR) ni nzuri kwa sasaAhsante 🙏🙏,,je nitaanza ngazi ya Chet ndipo naanza diploma Au vp mkuu
Limefunguliwa tena hadi August 16Na kwa Sasa naona dirisha la NACTE lilifungwa toka tr 30 June,2024 labda Kama wali fanya extension
Kuna kipindi walitoaga hiyo nafasi ......ila jaribu tu mkuuA
Asante kak,,vip mkopo kwa diploma naweza kuapply
Ahsante 🙏🙏Limefunguliwa tena hadi August 16
Unaenda tu wala usihofuHabari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E
Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi???
Natanguliza shukran za dhat wakuu 🙏🙏🙏
Ok basi vyema Sana maana mwishoni vijana walisema mtandao ulikuwa shida kufunguka Jambo jema wamefanyaLimefunguliwa tena hadi August 16
Pole unavyojibu kwa kusema "asante" ni dhahiri umeumia kwa matokeo hayo lkn pia umeyapokea.Take courage bado opportunities nyingine zipo,the worst has not happened mwanangu.Hili nalo litapita,ishi.Ahsante 🙏
Elimu na Afya lazima sehemu za vijijini, couz huduma kwa wananchi kufikiwa.Sijawahi hata kuomba hizo kazi...mpitimbi nimetolea tu mfano(kumaanisha sehemu yenye mazingira magumu).
Ukweli kozi za afya hazina tofauti na ualimu mazingira ya kufanikiwa magumu sana.
Unawaza nini hapo? Tayari unaprincipal naimani cheti cha form 4 kitakuwa vizuri.Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E
Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi???
Natanguliza shukran za dhat wakuu 🙏🙏🙏
Ndugu ang nishakubali matokeo hamna jinsi,,God ndio kapanga iwe hivo 🙏🙏🙏Pole unavyojibu kwa kusema "asante" ni dhahiri umeumia kwa matokeo hayo lkn pia umeyapokea.Take courage bado opportunities nyingine zipo,the worst has not happened mwanangu.Hili nalo litapita,ishi.
Ko take home, 500k+?720k kabla ya makayo kama sikosei.
Hongera bwana Mdogo, Tumia ufaulu wako wa Form Four, Nenda Pharmacy Chuo cha RUCU - IRINGA. Wako vizuri sana kwa upande wa PharmacyHabari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E
Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi???
Natanguliza shukran za dhat wakuu 🙏🙏🙏
600k hiviKo take home, 500k+?
Ahsante Sana ndugu 🙏Unawaza nini hapo? Tayari unaprincipal naimani cheti cha form 4 kitakuwa vizuri.
unaweza kusoma course yoyote ya diploma unayoitamani.
Bado hujapoteza ila rekebisha usije kuharibu tena mbeleni
Mkuu pole Kwa hali unayopitia kisaikolojia!Thanks Kaka,,o level nina B ya physics,chem,bio alaf Geo c na math c