feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Sasa ndo waboreshe mazingira..mazingira yanaua morale ya kufanya kazi kwakweli.Elimu na Afya lazima sehemu za vijijini, couz huduma kwa wananchi kufikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndo waboreshe mazingira..mazingira yanaua morale ya kufanya kazi kwakweli.Elimu na Afya lazima sehemu za vijijini, couz huduma kwa wananchi kufikiwa.
Diploma wanarejea cheti cha form 4Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E
Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi???
Natanguliza shukran za dhat wakuu 🙏🙏🙏
Wako vizuri, sasa stress na uoga wa nn? Halali wasumbuee mtaani, Woiiiih600k hivi
Ahsante 🙏🙏
Mazingira gani sasa? Mishahara au?Sasa ndo waboreshe mazingira..mazingira yanaua morale ya kufanya kazi kwakweli.
Aziz,God hajapanga iwe hivyo,lazima kuna mistake sehemu. But worry not tumia fourth certificate kufikia malengoNdugu ang nishakubali matokeo hamna jinsi,,God ndio kapanga iwe hivo 🙏🙏🙏
Nashukur Sana kwa ushaur wenu ahsanten sana
Mkuu pole Kwa hali unayopitia kisaikolojia!
Kwa huu ufaulu wako nenda diploma ya clinical officer kama unatamani course za afya
Ahsante 🙏🙏Pole sana mkuu bado unaweza kutoboa tumia cheti cha kidato cha nne
Aziz,God hajapanga iwe hivyo,lazima kuna mistake sehemu. But worry not tumia fourth certificate kufikia malengo
Meanwhile ipige vita advance in general,it's a total wastage of time na inadhihirisha mfumo wetu WA elimu ulivyo mbovu.
Mazingira duni ya kazi na sehemu wanazopelekwa watumishi wa sasa..bora wale wa degreeMazingira gani sasa? Mishahara au?
Ila pia hata huko Diploma bado kuna mlima wa kwenda degree kwa sasa angalau upate na GPA 4.5 utakua salama kusoma unapopata na kozi unayotaka ya Diploma yako. Vinginevyo atarudi tena hapa miaka 5 mbele akilia hivyo dogo akasome kweli kweli asiende akalete mzaha. Kitu pekee kitamfavor akimaliza diploma hata kama atakua hajafanya vizuri sana anaweza pata kazi na kuendeleza maisha.Aziz,God hajapanga iwe hivyo,lazima kuna mistake sehemu. But worry not tumia fourth certificate kufikia malengo
Meanwhile ipige vita advance in general,it's a total wastage of time na inadhihirisha mfumo wetu WA elimu ulivyo mbovu.
Kwenye ufaulu asilimia 90 umekosekana kabisa
Ni Sawa mkuu kuna factors nyingi zinazoathiri ndoto zetu,direct or indirect.Dogo yupo sahihi .
Everything is about God's plan
Alpha na omega , unaweza kuchelewa kupata kitu Fulani kwa sababu maalumu .
Dogo atachipua Sana kimaisha
Uko sahihi bidii ni muhimu....asije Rudi kutafuta huruma humu tena.Mazingira duni ya kazi na sehemu wanazopelekwa watumishi wa sasa..bora wale wa degree
Ila pia hata huko Diploma bado kuna mlima wa kwenda degree kwa sasa angalau upate na GPA 4.5 utakua salama kusoma unapopata na kozi unayotaka ya Diploma yako. Vinginevyo atarudi tena hapa miaka 5 mbele akilia hivyo dogo akasome kweli kweli asiende akalete mzaha. Kitu pekee kitamfavor akimaliza diploma hata kama atakua hajafanya vizuri sana anaweza pata kazi na kuendeleza maisha.
Best comment, ila humu kuna mijinga inakera haitoi ushauri wowote kazi yao kucheka cheka tu... Ila dogo asikate tamaa atumie cheti cha form 4 kuapply diplomaPole unavyojibu kwa kusema "asante" ni dhahiri umeumia kwa matokeo hayo lkn pia umeyapokea.Take courage bado opportunities nyingine zipo,the worst has not happened mwanangu.Hili nalo litapita,ishi.
Hv mnaangalia wapi hivyo vyuo, mi hz mambo hata sielewi, Nina mtoto wa ndugu yangu kapata div 11.10 anataka LAW hv anaweza pata chuo kweli, hist C, Geo C, eng D , form 4 alipata div 2, au ni koz gan nzuri anaweza soma? Msaada tafadharPia omba na vyuo vingine vilivyopo chini ya Nacte kwa kozi hiyo ya Diploma ya Radiology maana now ushindani utakua mkubwa usije ukakosa muhimbili ukakaaa home.
Kuna vyuo vingi nimecheki leo havina watu kwenye hiyo kozi mpaka sasa.
Mvumi
City college (Mwanza,Ilala na Temeke)
Sengerema
Pia jaribu kutupia na kozi hizi zina future sana kama utafanya vizuri diploma na kuunga digrii japo watu wanazidharau.
Dental
Physiotherapy
Auditology and speech therapy
NB: vyuo vya serikali vilivyo chini ya nacte vimeshajaa vyote. Na pia usithubutu kuomba Clinical medicine kama hutaki stress kwenye maisha yako.
Kila la khe
Kwahiyo huko vijijini wananchi wasipwlekewe wataalamu wa Afya? Mbona hospital za vijijini ziko vizuri kwa sasa. Au makazi ya kuishi wao?Mazingira duni ya kazi na sehemu wanazopelekwa watumishi wa sasa..bora wale wa degree
Ila pia hata huko Diploma bado kuna mlima wa kwenda degree kwa sasa angalau upate na GPA 4.5 utakua salama kusoma unapopata na kozi unayotaka ya Diploma yako. Vinginevyo atarudi tena hapa miaka 5 mbele akilia hivyo dogo akasome kweli kweli asiende akalete mzaha. Kitu pekee kitamfavor akimaliza diploma hata kama atakua hajafanya vizuri sana anaweza pata kazi na kuendeleza maisha.
Law anapata Mzumbe, Saut etcHv mnaangalia wapi hivyo vyuo, mi hz mambo hata sielewi, Nina mtoto wa ndugu yangu kapata div 11.10 anataka LAW hv anaweza pata chuo kweli, hist C, Geo C, eng D , form 4 alipata div 2, au ni koz gan nzuri anaweza soma? Msaada tafadhar