feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Ulimaliza mwaka gani mkuu?Mkuuu Mimi co ,,kummke najuta kusoma huu usenge bora hata nikasome dip nyngne tayar npo kwenye system,,yaaani dah😱😱😱😱😱
Mimi wakati naanza chuo kuna jamaa ni dentist alinishauri nipige chini CO nikampuuza ila nilipifika Second year ndo nikamuelewa alichokua ana maanisha. Nilikomaa nikamaliza ila baada ya hapo ikawa kisanga kwenye ajira dharau za private huko na ukiomba gvt unatupwa mpitimbwi😁😁 nikasema oiiiiiiiiii hapa nijiajiri tu *****...nimejiajiri Allah kajaalia nimerudi school kuongeza manuva huko napiga mishe staki stress.
Mdogo wangu kamaliza last year akataka CO nikamkimbizia Radiology nashukuru kachaguliwa huko.