Kwa ufaulu huu diploma naenda kozi za afya?

Kasome dip ya clinical dentistry,, au diagnostic radiography mkuu,,, hutajutaaa hzo ndo course markable sasa usikimbilie co,au nursing za kidwanz tu saiv
Ushauri mzuri huu, ndio maana sioni sababu ya wanangu kwenda A level. Wakifaulu vizuri O level wataenda chuo straight.

Zamani watu walienda diploma kwa ufaulu huu, siku hizi mambo yamekuwa tofauti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaumiza mnoo!! Poleeeni sanaa mliokutwa na hayo masaibu.

mziki wa PCB/PCM afu urudi Dip tena cheti cha 4m 4 unaweza tukana wasahihishaji hivi hivi. Lol.
Daa alafu mbaya zaidi uwe chuo ambacho kuna watu wa degree aisee utajihisi umenyimwa haki yako .sema sio mbaya mwaka huu na mimi nijiunge rasmi na degree sasa
 
Kasome dip ya clinical dentistry,, au diagnostic radiography mkuu,,, hutajutaaa hzo ndo course markable sasa usikimbilie co,au nursing za kidwanz tu saiv
Ahsante 🙏🙏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaumiza mnoo!! Poleeeni sanaa mliokutwa na hayo masaibu.

mziki wa PCB/PCM afu urudi Dip tena cheti cha 4m 4 unaweza tukana wasahihishaji hivi hivi. Lol.
Asante kak. 🙏🙏
 
Ahsante 🙏🙏
Pia omba na vyuo vingine vilivyopo chini ya Nacte kwa kozi hiyo ya Diploma ya Radiology maana now ushindani utakua mkubwa usije ukakosa muhimbili ukakaaa home.

Kuna vyuo vingi nimecheki leo havina watu kwenye hiyo kozi mpaka sasa.
Mvumi
City college (Mwanza,Ilala na Temeke)
Sengerema

Pia jaribu kutupia na kozi hizi zina future sana kama utafanya vizuri diploma na kuunga digrii japo watu wanazidharau.
Dental
Physiotherapy
Auditology and speech therapy

NB: vyuo vya serikali vilivyo chini ya nacte vimeshajaa vyote. Na pia usithubutu kuomba Clinical medicine kama hutaki stress kwenye maisha yako.

Kila la kheri
 
Zingatia huu ushauri
 
Mkuuu Mimi co ,,kummke najuta kusoma huu usenge bora hata nikasome dip nyngne tayar npo kwenye system,,yaaani dah😱😱😱😱😱
 
Daa alafu mbaya zaidi uwe chuo ambacho kuna watu wa degree aisee utajihisi umenyimwa haki yako .sema sio mbaya mwaka huu na mimi nijiunge rasmi na degree sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie kumbe huwa mnaumiaa? Si ndo wanasema Dip wako vizuri kuliko waliotoka Advance.

Kumbe wahusika mnaumia ndani kwa ndanii, nenda Degree ukavae Joho hapo baadae.
 
Mkuuu Mimi co ,,kummke najuta kusoma huu usenge bora hata nikasome dip nyngne tayar npo kwenye system,,yaaani dah😱😱😱😱😱
Pole boss mimi nilishashtuka niko chuo X napiga kozi nyingine na nimeanza kula mema.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie kumbe huwa mnaumiaa? Si ndo wanasema Dip wako vizuri kuliko waliotoka Advance.

Kumbe wahusika mnaumia ndani kwa ndanii, nenda Degree ukavae Joho hapo baadae.
Wanaosema hivo ni wale walio toka fresh o level ..ila alie gusa advance anaumia must aise
 
Back
Top Bottom