Kwa ufaulu huu diploma naenda kozi za afya?

Mkuuu Mimi co ,,kummke najuta kusoma huu usenge bora hata nikasome dip nyngne tayar npo kwenye system,,yaaani dah😱😱😱😱😱
Ulimaliza mwaka gani mkuu?

Mimi wakati naanza chuo kuna jamaa ni dentist alinishauri nipige chini CO nikampuuza ila nilipifika Second year ndo nikamuelewa alichokua ana maanisha. Nilikomaa nikamaliza ila baada ya hapo ikawa kisanga kwenye ajira dharau za private huko na ukiomba gvt unatupwa mpitimbwi😁😁 nikasema oiiiiiiiiii hapa nijiajiri tu *****...nimejiajiri Allah kajaalia nimerudi school kuongeza manuva huko napiga mishe staki stress.

Mdogo wangu kamaliza last year akataka CO nikamkimbizia Radiology nashukuru kachaguliwa huko.
 
Umemshauri vyema sana, asijione kafeli na kukata tamaa. Aende diploma miaka 3 then ataendelea na degree. Safari mara nyingi inakuwa na njia nyingi za kufikia destination yako.
 
Means CO hawatoi ajira au una maanisha nini mkuu?
 
Means CO hawatoi ajira au una maanisha nini mkuu?
Wanao maliza CO kwa sasa ni wengi ,ajira za Private mtaani magumashi na kupata ishu imagine mtu analipa 8k-10k na kulipwa mpaka apate mgonjwa. Gvt wanatoa ajira ila kumbuka pia nafasi hazitoshelezi na ukipata unapelekwa chimbo ambalo mpaka ukae sawa umeshapoteza miaka zaidi ya 5 na mshahara ndo huo mdogo.
 
Sasa Mpitimbi hapafai? Na ulipangiwa pale mission au kule humbaro hospital ya wilaya.
 
Mshahara wa CO ni kiasi gani? Nazungumzia hawa waajiriwa wa serikali.
 
Sasa Mpitimbi hapafai? Na ulipangiwa pale mission au kule humbaro hospital ya wilaya.
Sijawahi hata kuomba hizo kazi...mpitimbi nimetolea tu mfano(kumaanisha sehemu yenye mazingira magumu).

Ukweli kozi za afya hazina tofauti na ualimu mazingira ya kufanikiwa magumu sana.
 
Ok so mtu wa radiology na co kwa dip means differ salary? Au kozi ipi no marketable kwa Sasa kwa upandd wa Afya kwa dip level?
 
Diploma wanatumia matokeo ya form four sio ya form six...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…