Kwa ufaulu huu diploma naenda kozi za afya?

Ok so mtu wa radiology na co kwa dip means differ salary? Au kozi ipi no marketable kwa Sasa kwa upandd wa Afya kwa dip level?
Mshahara mmoja kwa gvt ila Radiology atapata faida zifuatazo.
1.Hata akiajiriwa gvt bado ataheshimika na thamank yake ipo atakunja mshahara mzuri kama wa gvt au zaidi kwa kua wapo wachache.
2.Akipangiwa gvt atapangiwa shemu za mijini hospital za wilaya na mkoa au vituo vya afya vya mijini huko ndiko kwenyw fursa anaweza kufanya kazi gvt na private na kufanya shuguli zingine kukuza kipato chake.
3.Anaweza kujiajiri kwa kufungua diagnostic center na akasavaivu mjini fresh mtu wa CO haruhusiwi kufungulia chochote.
4.Kazi yake haimpi stress muda wa kazi mfupi na anafanya akiwa amerelax bila jasho.

Hasara kwa sasa ni chache kuliko faida.

Hasara
1.Kujiendeleza hana uwanda mpana wa machaguo kwa degree kulinganisha na CO.
2.Hataweza kufanya kazi nyingi kuliko CO.kwani CO anaweza kutibu,kupima ,kuuza dawa nk.

Hayo ndo machache ninayoyajua
 
Unaenda tu wala usihofu
 
Sijawahi hata kuomba hizo kazi...mpitimbi nimetolea tu mfano(kumaanisha sehemu yenye mazingira magumu).

Ukweli kozi za afya hazina tofauti na ualimu mazingira ya kufanikiwa magumu sana.
Elimu na Afya lazima sehemu za vijijini, couz huduma kwa wananchi kufikiwa.
 
Unawaza nini hapo? Tayari unaprincipal naimani cheti cha form 4 kitakuwa vizuri.

unaweza kusoma course yoyote ya diploma unayoitamani.

Bado hujapoteza ila rekebisha usije kuharibu tena mbeleni
 
Pole unavyojibu kwa kusema "asante" ni dhahiri umeumia kwa matokeo hayo lkn pia umeyapokea.Take courage bado opportunities nyingine zipo,the worst has not happened mwanangu.Hili nalo litapita,ishi.
Ndugu ang nishakubali matokeo hamna jinsi,,God ndio kapanga iwe hivo πŸ™πŸ™πŸ™
Nashukur Sana kwa ushaur wenu ahsanten sana
 
Hongera bwana Mdogo, Tumia ufaulu wako wa Form Four, Nenda Pharmacy Chuo cha RUCU - IRINGA. Wako vizuri sana kwa upande wa Pharmacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…