Kwa ufaulu huu diploma naenda kozi za afya?

Diploma wanarejea cheti cha form 4
 
Ahsante ๐Ÿ™๐Ÿ™

Mkuu pole na hongera .

Muhimu usome professional yoyote kuhusu hivi au vile usichukulie serious Sana wewe FOCUS na mambo yako tu

Ukichunguza Sana watu wanaopitia magumu ndo huwa wanafanikiwa katika viwango vikubwa Sana.

So Endelea kumuomba Mungu akupe utulivu wa kusonga mbele .

Uaitishwe na maneno ya WATU yenye negativity.

Soma diploma maana degree zipo pia hazina pakushika .
 
Ndugu ang nishakubali matokeo hamna jinsi,,God ndio kapanga iwe hivo ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Nashukur Sana kwa ushaur wenu ahsanten sana
Aziz,God hajapanga iwe hivyo,lazima kuna mistake sehemu. But worry not tumia fourth certificate kufikia malengo

Meanwhile ipige vita advance in general,it's a total wastage of time na inadhihirisha mfumo wetu WA elimu ulivyo mbovu.
 
Dogo yupo sahihi .

Everything is about God's plan

Alpha na omega , unaweza kuchelewa kupata kitu Fulani kwa sababu maalumu .

Dogo atachipua Sana kimaisha
 
Mazingira gani sasa? Mishahara au?
Mazingira duni ya kazi na sehemu wanazopelekwa watumishi wa sasa..bora wale wa degree
Aziz,God hajapanga iwe hivyo,lazima kuna mistake sehemu. But worry not tumia fourth certificate kufikia malengo

Meanwhile ipige vita advance in general,it's a total wastage of time na inadhihirisha mfumo wetu WA elimu ulivyo mbovu.
Ila pia hata huko Diploma bado kuna mlima wa kwenda degree kwa sasa angalau upate na GPA 4.5 utakua salama kusoma unapopata na kozi unayotaka ya Diploma yako. Vinginevyo atarudi tena hapa miaka 5 mbele akilia hivyo dogo akasome kweli kweli asiende akalete mzaha. Kitu pekee kitamfavor akimaliza diploma hata kama atakua hajafanya vizuri sana anaweza pata kazi na kuendeleza maisha.
 
Kwenye ufaulu asilimia 90 umekosekana kabisa

Serikali inamuhesabu MTU aliyefaulu kwa kutazama hivi vigezo.

Form four D mbili au c moja
Form six E mbili au D mbili au C MOJA

SO UKISIKIA 90% haimaanishi wote wamepata one na two no hata ukipata four wanakuhesabu umefaulu.
 
Dogo yupo sahihi .

Everything is about God's plan

Alpha na omega , unaweza kuchelewa kupata kitu Fulani kwa sababu maalumu .

Dogo atachipua Sana kimaisha
Ni Sawa mkuu kuna factors nyingi zinazoathiri ndoto zetu,direct or indirect.
Zingine huwa za kiimani na kiroho zaidi.
Namwombea dogo apambane.
Uko sahihi bidii ni muhimu....asije Rudi kutafuta huruma humu tena.
 
Pole unavyojibu kwa kusema "asante" ni dhahiri umeumia kwa matokeo hayo lkn pia umeyapokea.Take courage bado opportunities nyingine zipo,the worst has not happened mwanangu.Hili nalo litapita,ishi.
Best comment, ila humu kuna mijinga inakera haitoi ushauri wowote kazi yao kucheka cheka tu... Ila dogo asikate tamaa atumie cheti cha form 4 kuapply diploma
 
Hv mnaangalia wapi hivyo vyuo, mi hz mambo hata sielewi, Nina mtoto wa ndugu yangu kapata div 11.10 anataka LAW hv anaweza pata chuo kweli, hist C, Geo C, eng D , form 4 alipata div 2, au ni koz gan nzuri anaweza soma? Msaada tafadhar
 
Kwahiyo huko vijijini wananchi wasipwlekewe wataalamu wa Afya? Mbona hospital za vijijini ziko vizuri kwa sasa. Au makazi ya kuishi wao?
 
Hv mnaangalia wapi hivyo vyuo, mi hz mambo hata sielewi, Nina mtoto wa ndugu yangu kapata div 11.10 anataka LAW hv anaweza pata chuo kweli, hist C, Geo C, eng D , form 4 alipata div 2, au ni koz gan nzuri anaweza soma? Msaada tafadhar
Law anapata Mzumbe, Saut etc

UDSM hapatii, hata asijisumbuee kuomba.
 
Wakuu nimerudi tena Habari za muda
Nilifanya application za vyuo vya afya kama mlivyoniambia niliweka radiology, optometry, dentistry na physiotherapy

Ila nimechaguliwa hii kozi ya dentistry chuo Cha kigamboni. Nahitaji kujua hiki chuo cha kigamboni hii kozi wanafundisha vizur au vipi ndugu zangu.

Natanguliza shukran za dhat ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mkeka umeshatoka wakuu, nimechaguliwa hapo๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20240819-114015.jpg
    58.5 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ