christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Kama ulikuwa mwizi na unadhulumu wananchi hiyo ilikuwa ni haki yako.Sijui ni watumishi gani unawazungumzia.
Sie wengine tulidharaulika sana wakati wa shetani lile.
Mana ulikuwa unaitwa unafokewa jadharani mbele ya wananchi, refer mikutano ya Makonda, Ali Hapi na Ngosha mwenyewe.
Tulikuwa tunawekwa ndani na maDC kiholela tu. Halafu we unasema eti tuliheshimiwa
Hakika.....Mi nilikuwa nasema "AMETUKUTA NA ATATUACHA" na ikawa hivyo.
Ukiwa mwizi na kudhulumu wananchi unakufa mapema tena kifo cha hovyo kama lilivyokufa lile shetani lenu la Chato.Kama ulikuwa mwizi na unadhulumu wananchi hiyo ilikuwa ni haki yako.
Uwizi sio sifa nzuri mkuu acha hiyo tabia. Mwamba hajafa bado anaishi ndio maana haipiti siku bila uzi wa kumuhusu yeye kuletwa humu, sasa kama kikundi cha watu wachache tu wa jf kila siku wanamuwaza jiulize huko nje hali ikoje. Hata wezi na mafisadi wakitaka kufanya yao lazima wahisi sauti ya mwamba ikiwakemea ila wanashupaza shingo.Ukiwa mwizi na kudhulumu wananchi unakufa mapema tena kifo cha hovyo kama lilivyokufa lile shetani lenu la Chato.
Limetuacha sasa hv tuna amani na furaha kama yote
Nimemshangaa kweli huyu LGF!!!!!!Kwamba Magufuli aliongeza mishahara?
Labda huko aliko sasa
Pole weee!!!!Kwani unadhani watu wengine wote tunawapenda watumishi wa umma?
Tuwapende kwa lipi la maana?
Kwa productivity yenu ndogo?
Kwa ulaji wenu wa rushwa?
Kwa kuzungusha watu maofisini bila kuwahudumia?
Kwa kutumia muda mwingi kupiga soga badala ya kufanya kazi?
Kwa uzembe na ubabaishaji uliojaa makazini mwenu ndiyo unataka tuwapendee?
Yani tuwapende kwa lipi haswa?
Kwa kupokea mishahara na marupurupu msioyafanyia kazi?
Kwa kuwa kwenye nafasi za kazi bila kufanya kazi? Mnakula pesa zetu za kodi bila kuzifanyia kazi. Kwa hiyo ndo unataka tuwapende kwa hayo?
Fikiri vizuri.
Yuko wapi Sasa?Watumishi wengi wa umma ni mijizi mnaishi kwa janja janja za hapa na pale.
JPM ndio dawa yenu, ndio maana mnasema alikuwa hawapendi.
Ndiyo maana akawashuhulikia, maana alikua anazijiua tabia zenu chafu za ufisadi! Na JPM ulikua ni mpango wa deep State kuwashuhulikia Watumishi wala Rushwa! Na bado msizani kufa kwa JPM huo mpango nao umekufa,bado atakuja another JPM very soon!!Hata yeye alikuwa mtumishi wa umma kabla ya kuwa mbunge na rais
SahauNdiyo maana akawashuhulikia, maana alikua anazijiua tabia zenu chafu za ufisadi! Na JPM ulikua ni mpango wa deep State kuwashuhulikia Watumishi wala Rushwa! Na bado msizani kufa kwa JPM huo mpango nao umekufa,bado atakuja another JPM very soon!!
Sasa Kama wwe siyo vyeti feki au mpiga deal,ni sababu ipi ilikufanya umchukie JPM!? Basi lazima wwe utakua na ndg au Jamaa walionyooshwa na Magu kwa ufisadi,na wwe ulikua unanufaika na huo uchafu ndiyo maana ukamchukia JPM!! Bishaa!!?Ha
Halafu huwa wajinga kweli!!! Huwa wanaamini kuwa mtu yeyote ambaye hakubaliani na baadhi ya mambo ya JPM basi huwa ni vyeti fake au mpiga dili!!!
Si mlikua wazembe ndiyo maana mlikua mnashuhulikiwa kikamilifu,mbona Watumishi wengine walikua hawafanyiwi hivyo!? Nyinyi ndiyo wale Watumishi mliona office za Umma ni Kama Mali zenu binafsi mnafanya mnavyotaka huku mkitesa wananchi wa kawaida wanaokuja kufuata huduma kwenye office za Umma!!Sijui ni watumishi gani unawazungumzia.
Sie wengine tulidharaulika sana wakati wa shetani lile.
Mana ulikuwa unaitwa unafokewa jadharani mbele ya wananchi, refer mikutano ya Makonda, Ali Hapi na Ngosha mwenyewe.
Tulikuwa tunawekwa ndani na maDC kiholela tu. Halafu we unasema eti tuliheshimiwa
Hata Yesu alikufa mapema,nalo hilo unalizungumziaje bro!!?Ukiwa mwizi na kudhulumu wananchi unakufa mapema tena kifo cha hovyo kama lilivyokufa lile shetani lenu la Chato.
Limetuacha sasa hv tuna amani na furaha kama yote
Hasa Watumishi wala Rushwa Kama wwe!!!Yule mzee alikuwa amebeba chuki,visasi na wivu sana
Ndiyo utetezi wao wa kifarasi.Ngoja Sukumagang na Mataga waje huku wakiwa wamejawa na jazba, kukutukana na kukuita mpiga dili na mwenye vyeti feki.
Ulimuona wakati anapokea mlungula au unaendeshwa na mihemko tu?Jibu kwa utulivu alichokiandika ndiyo tuone akili kama unazo.Hasa Watumishi wala Rushwa Kama wwe!!!
Wwe Kama ni Mtumishi wa Umma kua mkweli na Mungu anakuona, "hizo Mali ulizo nazo je ni kweli zinaendana na mshahara wako"!? Tukikuchunguza utaona Kama unaonewa kumbe wwe ni mpiga deal tu huko kwenye office za Umma!!Ndiyo utetezi wao wa kifarasi.
Mimi ni muuza duka.Mali zote ni halali.Kuhisi kila aliyepata ni mwizi nao ni uchawi.Ndiyo maana kila mti una bango la mganga wa jadi.Wwe Kama ni Mtumishi wa Umma kua mkweli na Mungu anakuona, "hizo Mali ulizo nazo je ni kweli zinaendana na mshahara wako"!? Tukikuchunguza utaona Kama unaonewa kumbe wwe ni mpiga deal tu huko kwenye office za Umma!!