Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

Mkataba wa Ajira yako unakwambia kila mwaka utaongezwa salary?
Ndio unasema hivyo! Sema kwasababu wewe huna uelewa wowote na ajira za serikali, ila umeambiwa tu uje upambanie legacy ndio ukaja kichwa kichwa kama hivi...
 
Alikuchukia wewe kwa kuwa ulikuwa na cheti fake lakini sisi watumishi wa vyeti original hatukuwa na shida naye kabisa.
Hashangai balozi mbelwa kairuki yuko China mkewe waziri bi Angela kairuki yuko Tz na siku zinasonga since sherehe za Beijing kwa akina mama, hili suala ni zaidi ya JPM (hasa hapo alipohusisha mambo ya uhamisho/wanandoa kuwa mbali), maadili yatamomonyoka hadi kama... R. I QEE JPM
 
Ajira ya 2014 wapo waliopanda 2019 tena mwaka huu 2023 wamepanda tena
Watu wasichikijua mishahara ilikuwa inaongezwa Kimya kimya na madaraja watu walipanda.

Kama mtu alikuwa ni kiaze kama mleta Uzi hawakufikiriwa kabisa
 
Watu wasichikijua mishahara ilikuwa inaongezwa Kimya kimya na madaraja watu walipanda.

Kama mtu alikuwa ni kiaze kama mleta Uzi hawakufikiriwa kabisa
Kwahiyo iliongezwa kwa wachache ambao walikuwa ndugu zake na hayati tu sio
 
We boya nna uwezo wa kukufuga ww pamoja na nzengo yako yote! Halaf naish kwa jasho langu sijawah kumnyima au kumnyanganya mtu! Jaribu kujifunza kutoka kwa wenzako waliokuzidi maarifa! Umma sio serikali kama unavyojilisha materia feki!
Umezungukwa na ndugu zako masikini wengi sana,nakushauri aanza nao kuwasaidia,acha kujimwambafy kwenye mitandao masikini wwe!!
 
Ebu fikiria, mtu kama wewe ndiyo matunda ya watumishi tulio nao! Hiyo ni ishara tosha kabisa kuwa hakuna ufanisi wowote huko makazini, watu wanafanya kazi tu bora liende.
Umeacha alama gani duniani wewe,kuwadharau watumishi wa umma ni alama tosha kwa wapumbavu.
 
Alikuwa anawachukia watumishi waliofoji vyeti feki na watumishi hewa akawatumbua
 
Hii inaonyesha wewe ni mmojawapo wa watu ambao hawakuwahi kupata kabisa nafasi ya kuweza kumuombea JPM alipokuwa yupo madarakani.

Kama una uelewa mpana wa mambo na huwa unayaangalia na kuyachambua vizuri, basi safari hii ninakuomba sana umuombee Mama; ili huko mbele ya safari, usije ukaingia kwenye mtego wa kumporomoshea lawama ambazo siyo zake
 
Kwa hiyo mnafurahia kifo cha Magufuli mnaonyesha wanaokufa mapema ni watu wenye dhambi sana
Magufuli alipendwa Kama alivyo chukiwa.kuna wanao mkumbuka kwa mazuri na Kuna wanao mkumbuka kwa mabaya.
 
Sale wanao msifia Magufuli,wawe tayari kusikia na upande wa pili.
 
Yule alikuwa shetani kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…