Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Ahahaha 🤣 🤣Wanataka vijana wajiajili ili hali wao wanataka uongozi
Ili kuukana umasikini ni lazima uwe na "big balls"!Umaskini ni roho.
Fanya mpango mkuu utulipie hata pantoni kwa wiki moja.Mimi makwapa yanauma kwa kuogelea daily!Umaskini ni laana
Nikiwa kama tajiri kutoka kigamboni nawatakia jioni njema
Mihuni ile itakuua uuache ugali na mama Asimwe.Mnatakiwa mkabanane nao huko huko na nyie
Ova
Mbaga jr amelia sana.Inasikitisha sana
Wapo madarakani umri wa mtu mzima, Bado wanachukua form huku macho hayaoni!HWanataka vijana wajiajili ili hali wao wanataka uongozi
which balls bro?Ili kuukana umasikini ni lazima uwe na "big balls"!
Pole sana mkuu mkinichagua kama mbunge wenu Kila mtu nitampeleka ItalyFanya mpango mkuu utulipie hata pantoni kwa wiki moja.Mimi makwapa yanauma kwa kuogelea daily!
Balls zilizopo chini mkuuwhich balls bro?
In between "the lower armpits" bro!which balls bro?
Huna nia njema wewe.Unataka ukatupeleke chuo cha mafioso!?Pole sana mkuu mkinichagua kama mbunge wenu Kila mtu nitampeleka Italy
Usiogope mkuuHuna nia njema wewe.Unataka ukatupeleke chuo cha mafioso!?