Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,049
- 1,797
Acha kulalamika hata kama umezaliwa maskini pambana uwe vyema ili watoto wako na kizazi chako kisije kikaendeleza chain ya umaskini.
Wahenga wanasema "wasiwasi wako ,pona yako" tajiri.Usiogope mkuu
Kupambana bila kujua mbinu za upambanaji nao ni ufwala.Inatakiwa mtu apewe blueprints zimuongoze kwenye ziwa la mahela mkuu.Acha kulalamika hata kama umezaliwa maskini pambana uwe vyema ili watoto wako na kizazi chako kisije kikaendeleza chain ya umaskini.
Inaonekana tukikupa mamlaka utatoa amri tuuwawe wote 🤣Umaskini ni laana
Nikiwa kama tajiri kutoka kigamboni nawatakia jioni njema
Binadamu tumezaliwa na uchoyo wa asili/natural self-centeredness.Kila mtu ni mbinafsi na mchoyo.Hakuna wa kumcheka au kumlaumu mwenzakeTuseme uhakika wa na ukweli kutoka moyoni hivi kama wewe ndio waziri mwenye dhamana ya fedha zote nchini, utakubali mwanao wa kumzaa akasome senti kayumba?
Dunia haijwahi kuwa na huruma kihivyo kila mtu hujipendelea yeye mwenyewe kwanza.
Zile mbiliBalls zilizopo chini mkuu
Ndio ivyo , bila big balls hutoboi 😅😅🪖Ili kuukana umasikini ni lazima uwe na "big balls"!
Tukomae na siasaIn between "the lower armpits" bro!
Eeenh mkuuZile mbili
Sasa unataka hizo mbinu uletewe mezani au zije zenyewe kimuujiza.. Zifuate njia za mafanikio wekeza jibane matumizi, usiendekeze sketi, jitume, omba Mungu, epuka marafiki wanaokukwamisha na kukukatisha tamaa, soma, tafuta kazi, kuwa mbunifu n.k alaf uone mabadilikoKupambana bila kujua mbinu za upambanaji nao ni ufwala.Inatakiwa mtu apewe blueprints zimuongoze kwenye ziwa la mahela mkuu.
Ila yasiwe kama busha tu.Ndio ivyo , bila big balls hutoboi 😅😅🪖
Kutoboa ozone layer ni njenje!Tukomae kama ngedere na mahindi.Tukomae na siasa
UhakikaBinadamu tumezaliwa na uchoyo wa asili/natural self-centeredness.Kila mtu ni mbinafsi na mchoyo.Hakuna wa kumcheka au kumlaumu mwenzake
Hayo yote upate wewe mmoja tu?Si dhulma kwa wengine? Unatakiwa upate kimoja tu.Sasa unataka hizo mbinu uletewe mezani au zije zenyewe kimuujiza.. Zifuate njia za mafanikio wekeza jibane matumizi, usiendekeze sketi, jitume, omba Mungu, epuka marafiki wanaokukwamisha na kukukatisha tamaa, soma, tafuta kazi, kuwa mbunifu n.k alaf uone mabadiliko
Hata kama hutofikia level za kina Bakhressa ila kujimudu na kupata mahitaji yako ya msingi wewe na familia yako ni hatua kubwa katika maisha.
Unapewa au unayatafuta mwenyewe ? Hujui kuna watu viraka kwenye maisha unapomuweka ana fitHayo yote upate wewe mmoja tu?Si dhulma kwa wengine? Unatakiwa upate kimoja tu.
Nakubali.Pekeji za wabunge zipunguzwe kwa zaidi ya robo tatu ili watakaogombea tuwajue kweli wanaenda kutetea maslahi ya wananchi.Wananchi Tungekua tunajitambua bila kujali vyama tungekomaa mshaara ya wabunge ipunguzwe kutoka na ukuaji wa Deni la Taifa na posho zao tungeenza na hiyo movie pia ingepunguza wabunge maslai tungepata wawakilishi wa wananchi kweli Mbunge anakuja 19 M kwa kazi anayofanya angaalu ilitakiwa mambo yote na posho zake akuje 8M sio mbaya