Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Vingine unapewa tu kama kupumua.Unapewa au unayatafuta mwenyewe ? Hujui kuna watu viraka kwenye maisha unapomuweka ana fit
Vingine unapewa tu kama kupumua.Unapewa au unayatafuta mwenyewe ? Hujui kuna watu viraka kwenye maisha unapomuweka ana fit
Wazo ni zuri nani atakaekusikiliza sasa?Wananchi Tungekua tunajitambua bila kujali vyama tungekomaa mshaara ya wabunge ipunguzwe kutoka na ukuaji wa Deni la Taifa na posho zao tungeenza na hiyo movie pia ingepunguza wabunge maslai tungepata wawakilishi wa wananchi kweli Mbunge anakuja 19 M kwa kazi anayofanya angaalu ilitakiwa mambo yote na posho zake akuje 8M sio mbaya
Kwani hata wanajali basic 🤣🤣🤣Ila yasiwe kama busha tu.
big balls ndo nnIli kuukana umasikini ni lazima uwe na "big balls"!
Ni mapembe mawili ya ng'ombe kutoka Ankole -Buganda.big balls ndo nn
Si mlitaka tishetiKutoboa ozone layer ni njenje!Tukomae kama ngedere na mahindi.
Wasisahau kapelo na wali maharage.Si mlitaka tisheti
UbwecheWasisahau kapelo na wali maharage.
Usipooga hauli.Ubweche
Kabisa watoto wa afu mbili awawezi elewaUsipooga hauli.