Kwa ufupi ni kwamba maskini hana chake hapa Bongo.

Wazo ni zuri nani atakaekusikiliza sasa?
Yaani hii dunia kitu kikiwa nje ya control yako achana nacho..
Maana mwisho wa siku watu tuna kawaida ya kugeukana hususani linapokuja swala la maslahi.
 
Kwann ukubali kuwa masikini na wewe kwni hao walizaliwa navyo
 
Ndio maana yake, national cake inagawiwa kwa ethnic ties, sadly na hamna wa kutuokoa tukishalambishwa vocha na ofa ya tamasha la diamond bure basi tunasahau shida zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…