Kwa ugonjwa huu wa akili wa Biden Marekani inawakilishwa na rais dhaifu huku media inaendelea kumpamba kwa watu wenye upeo mdogo wa kuuona uhalisia

Kwa wenzetu rais ni taasisi sio mtu binafsi. Huku africa wana akili timamu na hotuba nzuri wamefanya nini cha maana.
Tulishazoea kudanganywa kwa hotuba nzuri za na tunashangilia kweli,ndiyo maana ndugu yetu ameona hicho ndicho kigezo cha kuwa Rais bora
 
Huyu anafanya democratic waone safari yao ya 2024 sio fupi!
 
Ingekuwa Uraisi ni kama manager wa soko sawa
Ila ni taasisi
Ila dementia mbaya
 
Yah ni kweli lakini ukiwa mzee unajua nini kinafuata
Unateswa na Kitu tunaita Aging psychology. Kifohakihusiani na uzee, utoto Wala ujana Hata wewe pamoja na kwamba ni kijana unapaswa kijuwa kinachofata Kama unavyodhani kwa mzee
 
Fafanua? Au una definition yako ya neno Genius?
Angalia alivyomtega putin, Marekani walikuwa wanawaza ni kwa vipi wataiangusha russia kiuchumi kitaalamu, lakini wataishawish vipi dunia hasa kwa nchi za ulaya kuwa upande wao, ni kwa vipi nchi zilizobaki za ulaya zitajiunga na NATO saiv Sweden na Finland na nchi nyengine zimejitokeza ambazo hawakuwa na mpango wa NATO hili jambo washaliweka juu ya meza kwa maamuzi, wamefanikiwa kwa 80% zaidi
 
Ni mapema sana kufanya evaluation kwamba Marekani kafanikiwa hivi na Russia kaanguka hivi.

Mwisho wa mzozo huu ndio tutajua nani ka-gain na nani kapoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…