Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Tulishazoea kudanganywa kwa hotuba nzuri za na tunashangilia kweli,ndiyo maana ndugu yetu ameona hicho ndicho kigezo cha kuwa Rais boraKwa wenzetu rais ni taasisi sio mtu binafsi. Huku africa wana akili timamu na hotuba nzuri wamefanya nini cha maana.