Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Hakika mkuu

Huyu jamaa yani ilikuwaje kuwaje akaingilika kirahisi

Anyway, maisha ndivyo yalivyo siku zote sio jua kuna mvua pia.

Ila TUWE MAKINI AISEEE
 
Tafuta watu unaowajua au watu unaowaamini wakutafutie na sio kuokota mitandaoni Kwa haraka kiasi hicho, huyu kamuamini kijana mtandaoni Kwa haraka haraka.
huyu dogo nitampata,kuna mistake moja ilifanyika.Mkuu Kuyenge nimekupm namba yangu nichek tuunganishe dots.
 
Utapeli ni laana, kuna mwingine humu alishaniingiza king akatokomea na laki saba, ila mimi nilitoa kama kumpima tu imani yake maana nilitegemea lolote linaweza kutokea, ilikuwa ni baada ya kuguswa na hali niliyomkuta nayo nyumbani kwake na ukizingatia pia mm niliipitia.

Sasa ajabu baada ya kumpatia alikiuka makubaliano akapita hivi akahama mkoa akabadili mawasiliano. Jamaa nilimfuatilia humu nikazigundua IDโ€™s tatu tofauti ni zake na anatabia ya kuanzisha uzi na kujijibu kwa Id tofauti.
 
Hee hatari
 
Bora ubet tuu ndugu yangu. Vijana pasua kichwa
 
Cha ajabu
Yaani Jan 14 anatafuta kazi in two weeks anaiba?! Huyu dogo tutampata tu, nadhani una where abouts zake flani flani ambazo ulijiridhisha mpaka ukampatia kazi right?
Kazi inafanyika na kiserikali au vinginevyo atapatikana.Ni MTU was Tanga
 
Alarm ya kwanza ilikuwa ni pale alipokuambia alivamiwa na vibaka akaibiwa nauli. Humu kumejaa majambazi tu, hangaikeni kuwasaidia wahitaji mnaowaona huko mitaani kwenu. Achaneni na hizi roborts. Kila siku mnalizwa humu ila hamjifunzi tu๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
 
Ndiyo maana wanashauri kabla hamjawaajiri inabidi waje na utambulisho kutoka serikali za mta wakiambatanisha na barua za wazamin
 
Pole sana jamaa angu vijana hawa kabla ya kuwapa kazi inabidi ujiridhishe kwanza
 
Sahihi kabisa ndio maana nimemuambia ni mara elfu angesaidia ndugu kuliko bots, tatizo wa Afrika tuna karoho ka kukunja sana kuona watu wetu wakaribu tukiwasaidia na wakatusua. Ndugu anaweza kukuangusha lakini sio kukufilisi, nina hakika angehitaji wakufanya hiyo kazi katika jamii na jamaa zake asingekosa chini ya watu 10 wanao qualify kuifanya!
 
Vijana, tunakabiliwa na changamoto nyingi. Ukosefu wa mitaji ni kikwazo kikubwa. Hata tunapopata fursa au kuwezeshwa, wengi wetu hatuonyeshi uthubutu na uwajibikaji. Matokeo yake, tunawalaumu wengine kwa roho mbaya na kuwanyima fursa vijana ambao wako tayari kufanya kazi kwa bidii.

Ni wakati wa kubadilika. Tukipewa kazi, tuchukue kama ni yetu wenyewe. Tufanye kwa bidii na uaminifu. Tuache tabia ya kulalamika na kutafuta visingizio. Badala yake, tuwe wabunifu na kutafuta fursa mbalimbali.

Kumbuka, mafanikio hayaji kirahisi. Yanahitaji kujituma, uvumilivu na nidhamu. Tuwe mfano wa kuigwa kwa vijana wengine. Tuonyeshe kwamba tunaweza.

Ikumbukwe kwamba, vitendo vya uhalifu, utapeli na vingine vioovu havikubaliki na haviwezi kuwa njia ya mafanikio. Vijana wanaojihusisha na vitendo hivyo wanaharibu sifa ya vijana wengine na wanajifungia milango ya fursa. Badala ya kujihusisha na uhalifu, vijana tunapaswa kutafuta njia halali za kujipatia kipato.

Utapeli, wizi, rushwa, na vitendo vingine vioovu ni vitendo vya kinyama ambavyo vinawaumiza wengine na kuharibu jamii. Vijana wanaojihusisha na vitendo hivyo wanapaswa kujua kwamba wanakwenda kinyume cha sheria na maadili mema. Vitendo hivyo vinasababisha hasara kubwa kwa mtu binafsi na taifa kwa ujumla.
 
Na wewe ni tapeli kama matapeli wengine. Unatumia code ili unase mtu mtegoni Kwa kigezo Cha kuwasaidia watu kazi
 
Pesa haikai sehemu moja na MJINGA/ WAJINGA.

Hivi utaokotaje mtu tu huna hata pa kumshikia alafu unampa biashara ya pesa aisimamie.Acheni ujinga fanyeni vitu kiprofessional.

Alafu umekuja hapa JF kuthibitisha ulivyo mjinga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Haya mjinga siku nyingine kabla ya kuanzisha biashara au kufanya chochote katika maisha yako hata ukitaka kwenda dukani ingia kwanza JF ulizia upewe muungozo.Ukitaka kusafiri vilevile uje uulize A-Z usaidiwe akili na maarifa maana wewe huna hivyo vitu.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒHata ukitaka kula mbususu njoo JF kisima cha maarifa na ujuzi hutakosa msaada๐Ÿค
 
Kweli kabisa, tuna ndugu zetu kibao tena ni wahitaji kweli kweli. Na tuna watu wema tu wametuzunguka na tunawafahamu, kwanini hatuwasaidii hao tunahangaika na watu hata hatuwajui huku mitandaoni๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
 
Maisha yalivyo magumu hivi bado unapata ujasiri wa kumuonea mtu huruma๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mpigwe tu hakuna namna.NASEMA MPIGWEEEE!!!!

SERIKALI YENYEWE HAINA HURUMA NA MTU WEWE UNAANZIA WAPI.HIVI MNAHELA ZA KUCHEZEA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ