Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Hakika mkuuKwakifupi humu cheza nao kwa akili sana sana sana .
Halaf kosa ni la kwake kwel kwasababu alishaona dalili za kutapeliwa toka mwanzo alipotuma nauli, ila akazid kukomaa tu kutaka kufa ya kazi na mtu hiyo tena kazi inayo involve cash money, nooooo, ndugu yetu kayataka mwenyewe.
Kazi za pesa tunachukuaga watu tunaowajua mpaka kwao na wazaz wao na rufaa ya serikali ya mtaa kama pamoja na wadhamini.
Wewe unaokota tu mtu toka mtandaoni!.
Ila pole sana kaka
Huyu jamaa yani ilikuwaje kuwaje akaingilika kirahisi
Anyway, maisha ndivyo yalivyo siku zote sio jua kuna mvua pia.
Ila TUWE MAKINI AISEEE