Kwa ujuzi ulionao, utamsaidiaje muajiri wako kupata faida?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi.

Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao.

Aya, twende kazi.
 
Ninaelewa kuwa customer retention ndiyo siri ya faida endelevu kwa hiyo sitajenga tu mahusiano na wateja, bali nitahakikisha wateja wanakuwa brand advocates wanaorudi mara kwa mara, jambo ambalo ni gharama nafuu zaidi kuliko kutafuta wateja wapya.
 
Mfano, kampuni x wanazalisha vinywaji mbalimbali, na kwa siku wanazalisha kreti 500; kwa sasa kampuni x kwa siku inauza kreti 20. Kwa kutumia ujuzi wako, utasaidiaje kampuni x kuuza kreti 400 kwa siku?
 
Nitafanya data driven audit kujua kwanini wateja hawavutiwi na bidhaa zetu ili tuweze kubadilisha value proposition yetu sokoni.
 
Fani yako ni ipi? Ili jibu linatakiwa lijibiwe kimasoko zaidi.
 
Let's fight to survive!!
Boss mwenye plan ya kununua bodaboda atoe mkataba.... (Apite hapa!!
(Kuna plan ya 3 M investment, ambayo itakupa offer ya mkataba wa 6.5 M return!!)....

Ukiwekeza 5 million tutaweka mkataba wa 10 M return....
(Mambo yatakuwa kisheria kama inavyofanyika kwenye vyombo vya moto.

PLAN ZIPO MBILI.
A. KAMPUNI YA KUUZA NGUO ZA MTUMBA..... (Hii mchanganuo wake wote ninao, kwanzia marketing yake, location, wadau sahihi na masuplier n.k)
👆... Hii starting point yake n 3M itaanza kama biashara ya kawaida

B. OFFICE INAYOFANYA KAZI ZAIDI YA MOJA
👉Fundi simu (hii ni fani nnayoijua vizuri na nimefanya mwaka mzima)
👉Phones accessories na vitu vya electronic
👉Huduma za kipesa
👉 Handbags za kike (Hii ni kazi naijua nje ndani)

Hii office ikiwa sehemu ilochangamka vizuri kulaza 50k profit ni habari za kawaida sana✍️

Na yenyewe investment yake sio kubwa kwa kuanza.... 3.5 M
Kazi inaanza vizuri kabisa

(Haya wanaohitaji uwekezaji mdogo mdogo karibuni
 
Ya boda boda, inachukua miaka mingapi pesa yake kurudi na faida? Vipi changamoto za kiufundi utazitatuaje?
Plan A na B, ni ipi unaifanya kwa sasa?
 
Naomba nielekeze hiyo A please..
 
Ya boda boda, inachukua miaka mingapi pesa yake kurudi na faida? Vipi changamoto za kiufundi utazitatuaje?
Plan A na B, ni ipi unaifanya kwa sasa?
A... Hii ndo ninayo mkononi sahv, nimemaliza kuifanyia research miezi 3, nikakwama kwenye capital.

B... Hii nilifanya miaka 3 iliyopita nikaja pata deal kubwa kdg nikaachana nayo, (biashara haikunishinda niliacha)
Halafu kipindi mambo yapo vzr kiasi, nikifanikiwa kufungua office ya ufundi Dodoma, Kuna mtu tulifanya shea (fundi simu hvhv.... hii office ipo mpk dakika hii na inafanya kazi)
Ila sahv nataka kufanya harakati zangu Dar
Kwahyo ni kama nimeanza upya... ila experience ipo
 
Haya njoo inbox... nakuelekeza ukiipenda tufanye wote

Maana mm ndo naijua vizuri kabisa, kwahyo n rahisi kuzalisha profit nzuri ndani ya muda mfupi wa hardworking
Sawa usiniombe ela tu maana sina! ukimaliza unielekeze hiyo ya fundi simu bf wangu ni fundi simu tunaweza fanya jambo😂
 
Back
Top Bottom