Kwa ujuzi ulionao, utamsaidiaje muajiri wako kupata faida?

Kwa ujuzi ulionao, utamsaidiaje muajiri wako kupata faida?

Mimi nae sikuzaliwa kusindika mtu kwenye mafamikiwa, nayataka mimi mwenye, mambo za kumsaidia mwajiri, no thanks
 
Mkuu kama una akili kubwa ya kusaka mtonyo HAUWEZI Kuajiriwa

Ni utumwa
pambana nawe uwe bosi!
Wengine wanaajiriwa ili wapate pa kuanzia (mtaji) na kufanya mambo yao, na wapo wengine mpaka wanakufa wanakuwa wameajiriwa.
 
Usinishauri utanichanganya kaka😂

Nipoje kwenye O wakati nimemaliza kila kitu mpk masoko, suppliers ninao

Au we unadhan biashara ni mtaji pekee?
Ukiwa na masoko umemaliza, ukitaka kujua watu mitaji wanayo ila mawazo ndo cheche

Nenda stend sahv,,,, halafu hesabu office za M-pesa zipo ngapi!!
Au kaanze kuuza karanga mjini Leo, wateja wakikuzoea tu, kesho yake utakuta meza zaidi ya nne zenye biashara kama yako pembeni

Kwahyo inshu kumbe sio capital,,, Bali inshu n idea yenye uharisia na mashiko. Watu mitaji wanayo ndani
(Chukua hiyo itakusaidia. We njoo na mtaji wa wazo na full information pamoja na utuuzima kichwani, pesa watu wanazo
Unajua, wazo bila kulitekeleza ni sawa na ndoto tu, na wapo wengi wamekufa na mawazo yao bila kuyatekeleza kutokana na kigezo cha mtaji. Ni vizuri kuanza na kidogo ulichonacho katika harakati ya kutimiza wazo lako.​
 
mwajiri gani?kama kampuni ya kuuza vyombo hapo sawa,ila kama utumishi wa umma hakunaga ayo mambo ya ajabu na hakunaga maswali ya ajabu maana mashirika au taasisi tayari zina sheria,kanuni ,na taratibu za kuziongoza
Hapo ulipoajiriwa, unawathibitishiaje wewe ni mtu wa faida katika hiyo taasisi?
 
Mimi ni mvivu sana sipendi kufanya kazi kwa mda mrefu na mara mlnyingi Huwa nafanya kazi kwenye deadlines.

Ila Sasa Huwa nawasilisha kwa wakati na kazi inakuwa Haina nakosa. Na bosi wangu ananikubali sana.

Unajua kwanini??
I'M WORKING SMART, NOT HARD.
 
Uvivu wameumbiwa binadamu, ukiona wanajituma kwenye mihangaiko, ujuwe mazingira ndio yamewafanya wawe hivyo.
Matokeo ya kazi yoyote ile, lazima ilete mapato; ni muhimu kujitathmini, katika kazi tunazofanya zinaleta mapato, au ni blaa blaa tu?​
 
Kwenye mafuta main target ni production na sio mapato....Mapato yapo tu kila siku.
Kwenye maandalizi ya bajeti, inabidi kila idara ijieleze au itoe mchanganuo wa mapato na matumizi wanayotegemea kuyafanya kipindi fulani.
Katika idara yako, kwenye mapato unaweza kuelezeaje?​
 
Kwenye maandalizi ya bajeti, inabidi kila idara ijieleze au itoe mchanganuo wa mapato na matumizi wanayotegemea kuyafanya kipindi fulani.
Katika idara yako, kwenye mapato unaweza kuelezeaje?​
Hii ya kila idara inanikumbusha halmashauri nikiwa na fanya field.
But huku kwenye oil industry Department zote zina lengo moja kufikia production target mfano 240,000 barrel of oil perday. Kwa hiyo All department zinakuwa na lengo moja.
Ishu za matumizi kwa Department zote zinasimamiwa na Watu wa logistics hao ndio wanasimamia kila kitu kinacho hitajika site kipo kuanzia PPE etc.
Kwa hiyo hakuna ishu ya kusema kwamba Mwaka huu mech Department imeingiza mapato makubwa kuliko instrumentation au electrical au communication etc
 
Inategemea na 'core function' ya taasisi husika; kwenye 'oil' au 'production industry' lengo ni kufikia idadi fulani ya 'unit', kutokufikia malengo hayo ndio tunaita kufeli.

Mahesabu ya mapato, yatategemea namba za 'unit'; 'unit' zikiwa nyingi, tunategemea mapato pia yatakuwa mengi.

Kwa mfano, usipotimiza lengo la uzalishaji inakuwaje?​
 
Ndio maana nikasema mfano target ni kuzalisha mapipa laki 2 kwa siku kwa hiyo kwa mwezi hapo ni mapipa milioni 6. Kila Department main focus ni hapo ikitokea target haijafikiwa let say mapipa milioni 5 tu ndio yamezalishwa hapo ni hasara ya mapipa milioni 1 piga mahesa ukizidisha na dola hapo.
So ikitokea loss ya namna hiyo kwa total energies kuna ishu inaitwa no blaming culture hakuna kulaumu mtu tunafocus na kutafuta solution nini kimesababisha production kushuka.

Na production target ikifikiwa kwa mwezi tena without any injury kila mfanyakazi hadi mlinzi analamba bonus kwa huo mwezi.
 
Back
Top Bottom