Kwa ujuzi ulionao, utamsaidiaje muajiri wako kupata faida?

Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi.

Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao.

Aya, twende kazi.
Sisi wengine ni watu wa kudeal na systems!!data base etc
Tunadeal na mambo ya tech zaidi?

Maanaeke apo!
Digital promotion ya products,
Data recording,
 
Kuna kampuni moja bosi alikuwa msomali
alinifukuza kazi kisa eti naishi ofisini kibosi kuliko yeye..
mwanzoni nilipiga kazi kweli kwa faida ya kampuni ila mshahara haupandi na kuna mda unachelewa sana

Mwishowe nikaamua kula kiyoyozi tu kampuni sio yangu wala ya baba yangu ni msomali..
 
Unaongelea utani tena! Mimi sina ela ya kulipia project tukubaliane kabisa!
Change of plan... huko dm usije!!
Wapi nimekwambia ulipie project ww😁

Nimekwambia project ukiipenda, means unapewa idea bure ukiona inakufaa ukafanye huko, ila nikatoa proposal kama ukitaka kufanya naweza toa chance tufanye wote kama partners

Maana project ni kubwa,,, inahitaji watu kwanzia watatu kwenye bodi ya umiliki✍️

Project nimefanya research miezi 3 non-stop, tena mikoa miwili halafu hapa nataka nitoe madini,,, naanzishiwa na maneno ya kiswahili 😂😂
 
A... Hii ndo ninayo mkononi sahv, nimemaliza kuifanyia research miezi 3, nikakwama kwenye capital.

B... Hii nilifanya miaka 3 iliyopita nikaja pata deal kubwa kdg nikaachana nayo, (biashara haikunishinda niliacha)
Halafu kipindi mambo yapo vzr kiasi, nikifanikiwa kufungua office ya ufundi Dodoma, Kuna mtu tulifanya shea (fundi simu hvhv.... hii office ipo mpk dakika hii na inafanya kazi)
Ila sahv nataka kufanya harakati zangu Dar
Kwahyo ni kama nimeanza upya... ila experience ipo
A. kwa mtu anayeanza si lazima aanze na kikubwa sana, ata akianza na laki 5 sio mbaya.
 
Change of plan... huko dm usije!!
Wapi nimekwambia ulipie project ww😁

Nimekwambia project ukiipenda, means unapewa idea bure ukiona inakufaa ukafanye huko, ila nikatoa proposal kama ukitaka kufanya naweza toa chance tufanye wote kama partners

Maana project ni kubwa,,, inahitaji watu kwanzia watatu kwenye bodi ya umiliki✍️

Project nimefanya research miezi 3 non-stop, tena mikoa miwili halafu hapa nataka nitoe madini,,, naanzishiwa na maneno ya kiswahili 😂😂
Usipanic bro, ni angalizo tu

halafu watu wa3 kila mmoja na mtaji wa mil 3 au?
 
Sisi wengine ni watu wa kudeal na systems!!data base etc
Tunadeal na mambo ya tech zaidi?

Maanaeke apo!
Digital promotion ya products,
Data recording,
Fani yako, inasaidiaje kuongeza mapato kwenye kampuni?
 
A. kwa mtu anayeanza si lazima aanze na kikubwa sana, ata akianza na laki 5 sio mbaya.
Kuagiza balo za mtumba kutoka china, UK... n.k (huwezi anza na capital ya laki 5 bhana😁

Hiyo project nimeiweka juu juu tu hapo ...... ila ukiingia mtandaoni tizama hawa kampuni ya MSHIKO ipo Sinza, ndio role model wa hii project

Kwahyo simaanishi biashara ya nguo kwa taswira ndogo.

Competitors wako wawe na capital ya 300, 500+ millions halafu ww uanze na laki 5
😁😁😁
 
Kuna kampuni moja bosi alikuwa msomali
alinifukuza kazi kisa eti naishi ofisini kibosi kuliko yeye..
mwanzoni nilipiga kazi kweli kwa faida ya kampuni ila mshahara haupandi na kuna mda unachelewa sana

Mwishowe nikaamua kula kiyoyozi tu kampuni sio yangu wala ya baba yangu ni msomali..
Kuna kanuni moja; ili wewe uwe tajiri, muwezeshe kwanza bosi wako kuwa tajiri.
 
Kuagiza balo za mtumba kutoka china, UK... n.k (huwezi anza na capital ya laki 5 bhana😁

Hiyo project nimeiweka juu juu tu hapo ...... ila ukiingia mtandaoni tizama hawa kampuni ya MSHIKO ipo Sinza, ndio role model wa hii project

Kwahyo simaanishi biashara ya nguo kwa taswira ndogo.

Competitors wako wawe na capital ya 300, 500+ millions halafu ww uanze na laki 5
😁😁😁
Huwezi kuwaza 5 wakati uko kwenye 0, ili uifikie 5 lazima uanze na moja. Wengi ndoto zao zimekufa, wakisubiri kurukia kwenye 5.
 
Usipanic bro, ni angalizo tu

halafu watu wa3 kila mmoja na mtaji wa mil 3 au?
Wa kwanza ataingia kipindi ambacho ndio kampuni unatengeneza foundation... huyo atahitajika kuwa na 3M pekee!!

Baada ya hapo mtu wa tatu na WA mwisho ataingia baada ya miaka 2 au 1.5,,,, itategemea na target yetu ndani ya huo muda

Ila target ya kumuingiza mtu wa 3 ni hii
... akute kampuni tayari inajina na inasoko la uhakika
.... akute kampuni inaingiza 2M profit kwa mwezi
..... Akute kampuni Ina Headquarter na branch mbili za mauzo
.... Akute kampuni inalipa Kodi vizuri na inafanya record ya kila kitu

Baada ya kuwa na vigezo hivyo: Tutatafuta Muwekezaji atakayepewa Kadi kwa 45-50M

Baada ya hapo kampuni itaingia phase 2, na malengo ya kuagiza mzigo nje yatakuwa karibu
 
Huwezi kuwaza 5 wakati uko kwenye 0, ili uifikie 5 lazima uanze na moja. Wengi ndoto zao zimekufa, wakisubiri kurukia kwenye 5.
Usinishauri utanichanganya kaka😂

Nipoje kwenye O wakati nimemaliza kila kitu mpk masoko, suppliers ninao

Au we unadhan biashara ni mtaji pekee?
Ukiwa na masoko umemaliza, ukitaka kujua watu mitaji wanayo ila mawazo ndo cheche

Nenda stend sahv,,,, halafu hesabu office za M-pesa zipo ngapi!!
Au kaanze kuuza karanga mjini Leo, wateja wakikuzoea tu, kesho yake utakuta meza zaidi ya nne zenye biashara kama yako pembeni

Kwahyo inshu kumbe sio capital,,, Bali inshu n idea yenye uharisia na mashiko. Watu mitaji wanayo ndani
(Chukua hiyo itakusaidia. We njoo na mtaji wa wazo na full information pamoja na utuuzima kichwani, pesa watu wanazo
 
Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi.

Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao.

Aya, twende kazi.
mwajiri gani?kama kampuni ya kuuza vyombo hapo sawa,ila kama utumishi wa umma hakunaga ayo mambo ya ajabu na hakunaga maswali ya ajabu maana mashirika au taasisi tayari zina sheria,kanuni ,na taratibu za kuziongoza
 
Wa kwanza ataingia kipindi ambacho ndio kampuni unatengeneza foundation... huyo atahitajika kuwa na 3M pekee!!

Baada ya hapo mtu wa tatu na WA mwisho ataingia baada ya miaka 2 au 1.5,,,, itategemea na target yetu ndani ya huo muda

Ila target ya kumuingiza mtu wa 3 ni hii
... akute kampuni tayari inajina na inasoko la uhakika
.... akute kampuni inaingiza 2M profit kwa mwezi
..... Akute kampuni Ina Headquarter na branch mbili za mauzo
.... Akute kampuni inalipa Kodi vizuri na inafanya record ya kila kitu

Baada ya kuwa na vigezo hivyo: Tutatafuta Muwekezaji atakayepewa Kadi kwa 45-50M

Baada ya hapo kampuni itaingia phase 2, na malengo ya kuagiza mzigo nje yatakuwa karibu
Duh! sio mchezo! umeandaa business plan kabisa?
 
Back
Top Bottom