Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
inategemeana na kazi,,,Kama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi.
Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao.
Aya, twende kazi.
Mfano, kampuni x wanazalisha vinywaji mbalimbali, na kwa siku wanazalisha kreti 500; kwa sasa kampuni x kwa siku inauza kreti 20. Kwa kutumia ujuzi wako, utasaidiaje kampuni x kuuza kreti 400 kwa siku?Ninaelewa kuwa customer retention ndiyo siri ya faida endelevu kwa hiyo sitajenga tu mahusiano na wateja, bali nitahakikisha wateja wanakuwa brand advocates wanaorudi mara kwa mara, jambo ambalo ni gharama nafuu zaidi kuliko kutafuta wateja wapya.
Hapa hapa, na utatakiwa utoe ajira kwa vijanaSisi waajiri tuna comment wapi?
Kwa mtazamo huo utakuwa umefeli usailiMpaka nimpate huyo mwajiri nikishafanya kazi kwa mwaka mmoja nitakua nimeyajua mazingira vyama 😊
Kwa ujuzi/elimu uliyonayo, imekuandaa wewe kufanya nini?inategemeana na kazi,,,
Nitafanya data driven audit kujua kwanini wateja hawavutiwi na bidhaa zetu ili tuweze kubadilisha value proposition yetu sokoni.Mfano, kampuni x wanazalisha vinywaji mbalimbali, na kwa siku wanazalisha kreti 500; kwa sasa kampuni x kwa siku inauza kreti 20. Kwa kutumia ujuzi wako, utasaidiaje kampuni x kuuza kreti 400 kwa siku?
Fani yako ni ipi? Ili jibu linatakiwa lijibiwe kimasoko zaidi.Nitafanya data driven audit kujua kwanini wateja hawavutiwi na bidhaa zetu ili tuweze kubadilisha value proposition yetu sokoni.
Kufanya kazi kwa umakini mkubwa,,, na kutokukata tamaa.Kwa ujuzi/elimu uliyonayo, imekuandaa wewe kufanya nini?
Kazi ya namna gani?Kufanya kazi kwa umakini mkubwa,,, na kutokukata tamaa.
Ya boda boda, inachukua miaka mingapi pesa yake kurudi na faida? Vipi changamoto za kiufundi utazitatuaje?Let's fight to survive!!
Boss mwenye plan ya kununua bodaboda atoe mkataba.... (Apite hapa!!
(Kuna plan ya 3 M investment, ambayo itakupa offer ya mkataba wa 6.5 M return!!)....
Ukiwekeza 5 million tutaweka mkataba wa 10 M return....
(Mambo yatakuwa kisheria kama inavyofanyika kwenye vyombo vya moto.
PLAN ZIPO MBILI.
A. KAMPUNI YA KUUZA NGUO ZA MTUMBA..... (Hii mchanganuo wake wote ninao, kwanzia marketing yake, location, wadau sahihi na masuplier n.k)
👆... Hii starting point yake n 3M itaanza kama biashara ya kawaida
B. OFFICE INAYOFANYA KAZI ZAIDI YA MOJA
👉Fundi simu (hii ni fani nnayoijua vizuri na nimefanya mwaka mzima)
👉Phones accessories na vitu vya electronic
👉Huduma za kipesa
👉 Handbags za kike (Hii ni kazi naijua nje ndani)
Hii office ikiwa sehemu ilochangamka vizuri kulaza 50k profit ni habari za kawaida sana✍️
Na yenyewe investment yake sio kubwa kwa kuanza.... 3.5 M
Kazi inaanza vizuri kabisa
(Haya wanaohitaji uwekezaji mdogo mdogo karibuni
Day work!Kazi ya namna gani?
Naomba nielekeze hiyo A please..Let's fight to survive!!

A... Hii ndo ninayo mkononi sahv, nimemaliza kuifanyia research miezi 3, nikakwama kwenye capital.Ya boda boda, inachukua miaka mingapi pesa yake kurudi na faida? Vipi changamoto za kiufundi utazitatuaje?
Plan A na B, ni ipi unaifanya kwa sasa?
Haya njoo inbox... nakuelekeza ukiipenda tufanye woteNaomba nielekeze hiyo A please..
Sawa usiniombe ela tu maana sina! ukimaliza unielekeze hiyo ya fundi simu bf wangu ni fundi simu tunaweza fanya jambo😂Haya njoo inbox... nakuelekeza ukiipenda tufanye wote
Maana mm ndo naijua vizuri kabisa, kwahyo n rahisi kuzalisha profit nzuri ndani ya muda mfupi wa hardworking