Mwami Atale
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 489
- 1,789
Utani kwenye mambo ya userious ndo huwa sitaki madam😁Sawa usiniombe ela tu maana sina! ukimaliza unielekeze hiyo ya fundi simu bf wangu ni fundi simu tunaweza fanya jambo😂
Sisi wengine ni watu wa kudeal na systems!!data base etcKama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi.
Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao.
Aya, twende kazi.
Unaongelea utani tena! Mimi sina ela ya kulipia project tukubaliane kabisa!Utani kwenye mambo ya userious ndo huwa sitaki madam😁
We njoo upewe project ya kibabe,
Change of plan... huko dm usije!!Unaongelea utani tena! Mimi sina ela ya kulipia project tukubaliane kabisa!
Ujuzi wako umejikita kwenye nini?Day work!
A. kwa mtu anayeanza si lazima aanze na kikubwa sana, ata akianza na laki 5 sio mbaya.A... Hii ndo ninayo mkononi sahv, nimemaliza kuifanyia research miezi 3, nikakwama kwenye capital.
B... Hii nilifanya miaka 3 iliyopita nikaja pata deal kubwa kdg nikaachana nayo, (biashara haikunishinda niliacha)
Halafu kipindi mambo yapo vzr kiasi, nikifanikiwa kufungua office ya ufundi Dodoma, Kuna mtu tulifanya shea (fundi simu hvhv.... hii office ipo mpk dakika hii na inafanya kazi)
Ila sahv nataka kufanya harakati zangu Dar
Kwahyo ni kama nimeanza upya... ila experience ipo
Usipanic bro, ni angalizo tuChange of plan... huko dm usije!!
Wapi nimekwambia ulipie project ww😁
Nimekwambia project ukiipenda, means unapewa idea bure ukiona inakufaa ukafanye huko, ila nikatoa proposal kama ukitaka kufanya naweza toa chance tufanye wote kama partners
Maana project ni kubwa,,, inahitaji watu kwanzia watatu kwenye bodi ya umiliki✍️
Project nimefanya research miezi 3 non-stop, tena mikoa miwili halafu hapa nataka nitoe madini,,, naanzishiwa na maneno ya kiswahili 😂😂
Fani yako, inasaidiaje kuongeza mapato kwenye kampuni?Sisi wengine ni watu wa kudeal na systems!!data base etc
Tunadeal na mambo ya tech zaidi?
Maanaeke apo!
Digital promotion ya products,
Data recording,
Kuagiza balo za mtumba kutoka china, UK... n.k (huwezi anza na capital ya laki 5 bhana😁A. kwa mtu anayeanza si lazima aanze na kikubwa sana, ata akianza na laki 5 sio mbaya.
Kuna kanuni moja; ili wewe uwe tajiri, muwezeshe kwanza bosi wako kuwa tajiri.Kuna kampuni moja bosi alikuwa msomali
alinifukuza kazi kisa eti naishi ofisini kibosi kuliko yeye..
mwanzoni nilipiga kazi kweli kwa faida ya kampuni ila mshahara haupandi na kuna mda unachelewa sana
Mwishowe nikaamua kula kiyoyozi tu kampuni sio yangu wala ya baba yangu ni msomali..
Huwezi kuwaza 5 wakati uko kwenye 0, ili uifikie 5 lazima uanze na moja. Wengi ndoto zao zimekufa, wakisubiri kurukia kwenye 5.Kuagiza balo za mtumba kutoka china, UK... n.k (huwezi anza na capital ya laki 5 bhana😁
Hiyo project nimeiweka juu juu tu hapo ...... ila ukiingia mtandaoni tizama hawa kampuni ya MSHIKO ipo Sinza, ndio role model wa hii project
Kwahyo simaanishi biashara ya nguo kwa taswira ndogo.
Competitors wako wawe na capital ya 300, 500+ millions halafu ww uanze na laki 5
😁😁😁
Wa kwanza ataingia kipindi ambacho ndio kampuni unatengeneza foundation... huyo atahitajika kuwa na 3M pekee!!Usipanic bro, ni angalizo tu
halafu watu wa3 kila mmoja na mtaji wa mil 3 au?
Usinishauri utanichanganya kaka😂Huwezi kuwaza 5 wakati uko kwenye 0, ili uifikie 5 lazima uanze na moja. Wengi ndoto zao zimekufa, wakisubiri kurukia kwenye 5.
mwajiri gani?kama kampuni ya kuuza vyombo hapo sawa,ila kama utumishi wa umma hakunaga ayo mambo ya ajabu na hakunaga maswali ya ajabu maana mashirika au taasisi tayari zina sheria,kanuni ,na taratibu za kuziongozaKama jibu lako litamshawishi mtoa ajira au mwenye ajira, jiandae kupata ajira kwa haraka Zaidi.
Hakuna haja ya kulala njaa au kulalamika huna kazi, wakati ujuzi wa kuzalisha faida unao.
Aya, twende kazi.
Mkuu kama una akili kubwa ya kusaka mtonyo HAUWEZI KuajiriwaKuna kanuni moja; ili wewe uwe tajiri, muwezeshe kwanza bosi wako kuwa tajiri.
Duh! sio mchezo! umeandaa business plan kabisa?Wa kwanza ataingia kipindi ambacho ndio kampuni unatengeneza foundation... huyo atahitajika kuwa na 3M pekee!!
Baada ya hapo mtu wa tatu na WA mwisho ataingia baada ya miaka 2 au 1.5,,,, itategemea na target yetu ndani ya huo muda
Ila target ya kumuingiza mtu wa 3 ni hii
... akute kampuni tayari inajina na inasoko la uhakika
.... akute kampuni inaingiza 2M profit kwa mwezi
..... Akute kampuni Ina Headquarter na branch mbili za mauzo
.... Akute kampuni inalipa Kodi vizuri na inafanya record ya kila kitu
Baada ya kuwa na vigezo hivyo: Tutatafuta Muwekezaji atakayepewa Kadi kwa 45-50M
Baada ya hapo kampuni itaingia phase 2, na malengo ya kuagiza mzigo nje yatakuwa karibu