Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
I love a fighting spirit 💪.Tusikate tamaa!
Muda bado upo uzuri wameshupaza shingo. Kifuatacho ni kuanza kuzitafuta bunduki.
I love a fighting spirit 💪.Tusikate tamaa!
Muda bado upo uzuri wameshupaza shingo. Kifuatacho ni kuanza kuzitafuta bunduki.
Na wao wakianza kuyaonja mauti, itapendeza.Ubaya nikwamba tukisharuhusu tu kuingia huko tujue tushashiriki kukuchoma moto Taifa letu ,madhara yakuanzia kutembeleana vyuma nimakubwa sana mkuu
Walijua bado watz ni waoga kama zamani huko tumeshatoka!I love a fighting spirit 💪.
Hiki ndicho walichokuwa wanafanya. Kila muandamanaji alikuwa akisema "Yani nikimkamata polisi mmoja...."The only way I won’t fight back ni labda mtu anidungue toka umbali flani.
Siyo mikwara. Mikwara kivipi sasa?Mkuu unamikwara sana 🤣
Okay, haya. Acha waendelee kuuliwa tu sasa.Hiki ndicho walichokuwa wanafanya. Kila muandamanaji alikuwa akisema "Yani nikimkamata polisi mmoja...."
Tena hilo la wanajeshi kuzuia uharibifu walikuwa wanawaambia hvyo hvyo vijana kuwa msiharibu mali pia walikuwa wanawaelekeza polis walipoKunamambo hata tu akili za kawaida zinagoma kuyaelewa .
Ningelikuwa mimi ndiye Rais,siku ile ya tarehe 29 October baada ya kuona kweli watu wametoka na jeshi limeamua kuwasindikiza kitu ambacho ningelifanya ningeliwashangaza raia .
Ningeliongea na wakuu wavikosi watoe oda ya kuongeza magari ya jeshi mitaani .
ningeliondoa police wote barabarani.
ningeliwapa jukumu wanajeshi wawaongoze na kuwasimamia raia wazunguke nao siku nzima huku wakiwapa sharti moja tu , wasifanye uharibifu wowote na kila wakishafika kwenye kituo kimoja ningeliweka mtu wa kuyapokea maandamano yao ,ningeliwaambia maandamano yao yawe na mabango na wakifikra kwa anaewapokea wampe karatasi waliyoandika mahitaji yao .
Ikifika jioni wakalale na kesho wawaambie tutaendelea 🤣🤣
Ningelihakikisha nawazungusha hivyo hivyo wiki nzima huku tume ikiendelea na utaratibu wake na kwenye ushindi tume ingeliweka hata 52% ingebalance siyo hadi 98% eeh! 🤣🤣
Bina kusema uwongo hapo tungelijiongezea heshima sana kimataifa kwa kuwaonyesha Tanzania tunademokrasia kabambe sana .
Kimsingi naamini tungelifanikiwa sana kudhibiti uharifu kwa maana jukumu la kuzisimamia lingelikuwa kwao wenyewe huku wakiongozwa na jeshi.
Lakini pia uwepo wa wao kubakia na jeshi tu kungeliwaongezea uwoga wa ndani
Ile game ilikuwa iishe droo .
Maana Rais angelipatikana na waandamanaji wangelikuwa wamepewa haki zao tena kisstaarabu .
Lakini kwakuwa Mama ni failure washauri ndiyo kabisa uchawa mwingi so dah!
Uko sahihi. Kwa wanachofanya hadharani tena mchana kweupe, ni vigumu sana kuamini kuwa waliotekwa wako hai.Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana.
Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika.
Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma.
Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi ya kitengo walichotokea.
Lakini mwisho na kubwa kuliko yote ni hatima za wale waliyokuwa wakiwateka na kuondoka nao huwa wanatreatwaje huko waliko .
Wale jamaa wanaonekana washapagawa na damu .
Kunaclip kadhaa nilifanikiwa kuziona ambazo zilikuwa zikiwaonyesha kwa ufasaha kabisa ,aisee jamaa walikuwa wanatetemeka kabisa usoni ,kama niwatu waliyotumia vileo au madawa yakuwapunguzia utimamu .
Wakuu hatupo salama,tusipoamua kusimama na kujiongezea thamani kwa kusema imetosha ,wazee tutaisha .
Ikitokea umetekwa na wale washkaji jua umeenda .
Tumshukuru aliyempa Sa100 wazo la kuratibu utekaji , siyo muda tutakutana na majibu ya kazi zao zilizotukuka .
CCM haina safari trust me .