Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

Ndugu yangu, katika muktadha wa kujiajiri kwa kijana ambaye ni fresh graduate, taaluma ya procurement ina msaada gani?
Ukiwa na mtazamo huo huwezi kusoma fani yeyote. Hivi unataka kuniambia Civil Engineer anaweza akajiaajiri immediately akitoka ku graduate? Au Daktari? Kuna kitu kinaitwa mtaji, soko, TRA, Regulatory framework nk
 
Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati.

Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21.

Mtoto akisoma Procurement basi umuhimu wake ni aajiriwe Serikalini zaidi ya hapo fani haina umuhimu wowote,na haina msaada wowote kwa mhitimu. kwanini iendelee kufunishwa vyuoni?

Hii fani ilipaswa kuwa sehemu ya course za watu wanaosoma finance/accounts lakini sio kuwa independent course.

Wakati tunafanya mabadiliko ya mitaala ya elimu, tusisahau ya vyuo vikuu. Vyuo wao wanachotaka ni hela tu kwa kuanzisha fani sizizo na maana yoyote ambazo hazina msaada kwa wahitimu.

Fani ya Procurement inapaswa kufutwa. Mzee Kishimba aliwahi kuuliza, mtu anasoma fani ya manunuzi ananunua nini?
Ni fani inayostahili kufa
 
Ukiwa na mtazamo huo huwezi kusoma fani yeyote. Hivi unataka kuniambia Civil Engineer anaweza akajiaajiri immediately akitoka ku graduate? Au Daktari?
Mkuu, kwa kuwa ajira ni chache sana ukilinganisha na idadi ya wahitimu, hivyo ni lazima serikali itilie mkazo sana katika programs zitakazomuwezesha fresh graduate aweze kujiajiri.
 
Hakika mkuu. Agriculture na ufundi ndio hitaji kuu la kijana wa Tanzania
na ufundi wenyewe Ada ni kubwa sana kozi fupi ya miezi 3 ya kupaka rangi magari ni 365,000.samia na waziri wa elimu mtuangalie tunaokimbilia ufundi maisha yametupiga ndo maana tunakuja huko hyo hela tutaipata wapi?
 
Hoja za Mleta maada zinakinzana na Maada yenyewe.

1. Kichwa cha habari, mleta maada anaonesha kuwa procurement vacancy ifutwe kwenye mitaala ya vyuo huku akiwa amebase sehemu moja tu kuwa Mhitimu hatoweza kuajiajiri, sina uhakika kama ni kweli mhitimu ataweza au hatoweza kujiajiri

2. Mtengeneza maada alisahau ya kwamba hii Fan bado ni tegemewa sana kwa upande wa waajiri State/ Private sector

Sasa pengine mleta maada uwe muwazi tu , wewe ulitaka ifute kwa sababu ipi kati ya hizo mbili apo juu, be specific please
 
Mkuu, mimi niliwahi kufanya kazi katika construction industry kwa muda fulani. Nilichoshuhudia kwa muda wote huo ni kwamba, watu wa kidato cha nne na sio ndio wanafanya hizo kazi za manunuzi na sio graduates. Kwa mazingira ya Tanzania hiyo kozi ipunguze udahili wa wanafunzi.
duh form iv
 
Mleta mada naona ufahamu wake mdogo.
Kitu cha kwanza globally ajira ni changamoto ndo maana utaona wenzetu wachina wametapakaa dunia nzima wakiisaka sshilingi.
Si kila kozi ipo kwa ajili ya kujiajiri mbona hujasema kozi za usecretary zifutwe sababu hawezi kujiajiri?

Kitu kingine swala la trauma na kujiajiri ni vitu viwili tofauti kuna watu ni madaktari ila wameishia kua wauza mbao
 
Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati.

Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21.

Mtoto akisoma Procurement basi umuhimu wake ni aajiriwe Serikalini zaidi ya hapo fani haina umuhimu wowote,na haina msaada wowote kwa mhitimu. kwanini iendelee kufunishwa vyuoni?

Hii fani ilipaswa kuwa sehemu ya course za watu wanaosoma finance/accounts lakini sio kuwa independent course.

Wakati tunafanya mabadiliko ya mitaala ya elimu, tusisahau ya vyuo vikuu. Vyuo wao wanachotaka ni hela tu kwa kuanzisha fani sizizo na maana yoyote ambazo hazina msaada kwa wahitimu.

Fani ya Procurement inapaswa kufutwa. Mzee Kishimba aliwahi kuuliza, mtu anasoma fani ya manunuzi ananunua nini?
It’s a basic course
Kila kada should study it
 
Back
Top Bottom