Analazimisha kitu ambacho hakipoMkuu, graduate wa procurement anawezaje kujiajiri akimaliza chuo? Hayo uliyoandika hapo juu ya stores za hospital na hotelini hata mhitimu wa kidato cha sita anaweza kufanya.
Sad indeed. We seriously need to change bro.Analazimisha kitu ambacho hakipo
Ukiwa na mtazamo huo huwezi kusoma fani yeyote. Hivi unataka kuniambia Civil Engineer anaweza akajiaajiri immediately akitoka ku graduate? Au Daktari? Kuna kitu kinaitwa mtaji, soko, TRA, Regulatory framework nkNdugu yangu, katika muktadha wa kujiajiri kwa kijana ambaye ni fresh graduate, taaluma ya procurement ina msaada gani?
Welcome to Africa where politics overshadows professionalism.Pole sana...
Ni fani inayostahili kufaBaadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati.
Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21.
Mtoto akisoma Procurement basi umuhimu wake ni aajiriwe Serikalini zaidi ya hapo fani haina umuhimu wowote,na haina msaada wowote kwa mhitimu. kwanini iendelee kufunishwa vyuoni?
Hii fani ilipaswa kuwa sehemu ya course za watu wanaosoma finance/accounts lakini sio kuwa independent course.
Wakati tunafanya mabadiliko ya mitaala ya elimu, tusisahau ya vyuo vikuu. Vyuo wao wanachotaka ni hela tu kwa kuanzisha fani sizizo na maana yoyote ambazo hazina msaada kwa wahitimu.
Fani ya Procurement inapaswa kufutwa. Mzee Kishimba aliwahi kuuliza, mtu anasoma fani ya manunuzi ananunua nini?
Mkuu, kwa kuwa ajira ni chache sana ukilinganisha na idadi ya wahitimu, hivyo ni lazima serikali itilie mkazo sana katika programs zitakazomuwezesha fresh graduate aweze kujiajiri.Ukiwa na mtazamo huo huwezi kusoma fani yeyote. Hivi unataka kuniambia Civil Engineer anaweza akajiaajiri immediately akitoka ku graduate? Au Daktari?
Ulipaswa kuijibu hoja yake badala ya kumkejeli mwenzakoWe ndio unatakiwa ufutwe duniani hapa hamzitendei haki akili mnazopewa na muumba
Programs zisizomsaidia fresh graduate kuweza kujiajiri, zipunguze admission.mkuu kwanza unatakiw kjua fani ya procurement inahusiana na nn
na ufundi wenyewe Ada ni kubwa sana kozi fupi ya miezi 3 ya kupaka rangi magari ni 365,000.samia na waziri wa elimu mtuangalie tunaokimbilia ufundi maisha yametupiga ndo maana tunakuja huko hyo hela tutaipata wapi?Hakika mkuu. Agriculture na ufundi ndio hitaji kuu la kijana wa Tanzania
duh form ivMkuu, mimi niliwahi kufanya kazi katika construction industry kwa muda fulani. Nilichoshuhudia kwa muda wote huo ni kwamba, watu wa kidato cha nne na sio ndio wanafanya hizo kazi za manunuzi na sio graduates. Kwa mazingira ya Tanzania hiyo kozi ipunguze udahili wa wanafunzi.
It’s a basic courseBaadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati.