Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Nchi ya kijinga sana hii
 
Hakuna sababu ya kubadilisha sheria ya ulinzi kuna sababu ya kuweka cap kwenye matumizi ya Kodi zetu; kwahio wakiona vipi wanataka zaidi watoe pesa zao za mshahara au waweke sungusungu na marungu (accordingly to their budget) In short namaanisha hawa madubwana tunawalipa pesa nyingi sana...
 
Shida ni sheria za nchi sidhani kama yeye ndo anasema anataka kulindwa namna hiyo... sometime inawezekana kuna some intelligence kwamba maybe anawindwa ndo maana ulinzi unakuwa mkali.

Same case to Magufuli
 
Rekebisha lugha, sio kuthibiti, ni kudhibiti
 
Shida ni sheria za nchi sidhani kama yeye ndo anasema anataka kulindwa namna hiyo... sometime inawezekana kuna some intelligence kwamba maybe anawindwa ndo maana ulinzi unakuwa mkali.

Same case to Magufuli
Ulitaka alindwe na walinzi wawili kama DC?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kapangiwa kajipangia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…