Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kuthibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..
Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142
Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo
View attachment 2748144
Na hii nyingine..
View attachment 2748150