macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kama kweli umesoma hata kufika form four tu basi una hasara kubwa na umepoteza muda wako bure.Nimesoma ila sijaizunguka dunia kama ulivyoizunguka wewe [emoji106]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yuko mkuu....Nchi imepitia mengi sana huyo mshamba hapo kwenye pikipiki yuko wapi siku hizi?
[emoji1787][emoji1787]Kwaiyo huyo biteko ni raisi!
Nahisi watakuwa wanapokea maagizo kutoka kwa hawa viongozi uchwaraHao walinzi sio wanapangiwa na kitengo Cha ulinzi wa viongozi?
Kosa la Mh.Biteko ni nini katika huo ulinzi ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]Masikini akipata matk hulia mbwata. Wahenga walikuwa na akili sana. Waliyaona mambo kabla hayajatokea. Walimwona Biteko kabla hajazaliwa.
Mbaya zaidi tunawalipa pesa nyingi, huku hakuna la maana wanalolifanya.Hakuna sababu ya kubadilisha sheria ya ulinzi kuna sababu ya kuweka cap kwenye matumizi ya Kodi zetu; kwahio wakiona vipi wanataka zaidi watoe pesa zao za mshahara au waweke sungusungu na marungu (accordingly to their budget) In short namaanisha hawa madubwana tunawalipa pesa nyingi sana...
Tafadhari sana, kabla ya kupost soma ulichoandika, maana inaudhi kusoma vitu visivyoeleweka hasa kwa muanzisha uzi.Kama yeye ndo waziri mkuu niyo msimamizi wa shughuli za serikali ....Ngoja nikupe mfano wa mWalimu hivi mkuu wa shule/mwalimu mkuu kwwnye vipindi vya kufundisha huwa anapanga au anapangiwa...
Kipi hakijaeleweka mkuu mkuu hebu nieleweshe nijifunzeTafadhari sana, kabla ya kupost soma ulichoandika, maana inaudhi kusoma vitu visivyoeleweka hasa kwa muanzisha uzi.
Kwamba unaona unachokiandika kiko sawa?Kipi hakijaeleweka mkuu mkuu hebu nieleweshe nijifunze
Wakati huo WAZIRI MKUU MWENYEW HAJAWAHI KUWA NA ULINZI HUO UNA MAANA CHEO CHA NAIBU WAZIRI MKUU NI KIKUBWA KULIKO WM MWENZEWEHivi tunajua kuwa nafasi hiyo ya mh.Biteko ni kubwa?!!!
Majukumu yake ni kusimamia UTENDAJI WA WIZARA ZOTE....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza ili unifundishe mkuu unayejua yote maana na uzee huu macho yameshakufaKwamba unaona unachokiandika kiko sawa?
Kuna watu walilindwa hadi na mitambo isiyoonekana na madege na cycles za makes hi lakini wakafa na mengine kabisaSiku ukiwa N/W M utawaambia hao jamaa wakuachie mlinzi 1 tu ?!!! [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyo wa kutoka nje akamwue Waziri kwa lengo la kupata nini? Labda kama amekuwa anafanya biashara haramu kwa kushirikiana na watu wa mataifa mengine, halafu akawadhulumu hapo atatafutwa.Kwani ulinzi huo ni kwa ajili ya kujilinda dhidi ya watanzania tu?!!!
Hauwahusu "perpetrators" kutoka nje ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Rais wa Marekani hana ulinzi huo! HahahahahaaSasa nchi ya amani kama hii ulinzi wote huo wa nini hata Rais wa marekani hana ulinzi huo
Haiwezekani ukawa na ulinzi kiasi hicho halafu ukasahau kuvaa condom.Kuna watu walilindwa hadi na mitambo isiyoonekana na madege na cycles za makes hi lakini wakafa na mengine kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka na wake zao não wapewe mafao kwa Kazi ya kuwatandikia vitanda wanapokuwa kwenye hivyo vyeo!! Yaani wanataka mume wa Samia pia bwana Hafidh nae atengewe fungu lake mkewe atakapoondoka ofisin!!! Wanalipwa fedha nyingi kama mshahara na pension yao nzuri bado wanataka kukamua damu ya wananchi kwa kujilimbikizia mafao!! Wafanyakazi wakiomba nyongeza ya mishahara wanasema hakuna hela lakini za kuwahonga wenzi wao zinapatikana! Hii ni serikali ya watu dhalimu sana.Kodi zetu zinatumika kindezi sana.
Dah 🤣🤣🤣🤣Haiwezekani ukawa na ulinzi kiasi hicho halafu ukasahau kuvaa condom.