Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Hakuna sababu ya kubadilisha sheria ya ulinzi kuna sababu ya kuweka cap kwenye matumizi ya Kodi zetu; kwahio wakiona vipi wanataka zaidi watoe pesa zao za mshahara au waweke sungusungu na marungu (accordingly to their budget) In short namaanisha hawa madubwana tunawalipa pesa nyingi sana...
Mbaya zaidi tunawalipa pesa nyingi, huku hakuna la maana wanalolifanya.
 
Kama yeye ndo waziri mkuu niyo msimamizi wa shughuli za serikali ....Ngoja nikupe mfano wa mWalimu hivi mkuu wa shule/mwalimu mkuu kwwnye vipindi vya kufundisha huwa anapanga au anapangiwa...
Tafadhari sana, kabla ya kupost soma ulichoandika, maana inaudhi kusoma vitu visivyoeleweka hasa kwa muanzisha uzi.
 
Kuna vitu natamani tuwe tunaenda kwa uhalisia, historia au data.

Ni viongozi wangapi wa chini ya raisi waloshawahi kuwa matatani hata kukawa na ulazima wa kutumia nguvu kubwa ya ulinzi.

Mbona naona hali ni shwari au intelijensia huwa inaonesha kuna hatari!?
 
Kwani ulinzi huo ni kwa ajili ya kujilinda dhidi ya watanzania tu?!!!

Hauwahusu "perpetrators" kutoka nje ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyo wa kutoka nje akamwue Waziri kwa lengo la kupata nini? Labda kama amekuwa anafanya biashara haramu kwa kushirikiana na watu wa mataifa mengine, halafu akawadhulumu hapo atatafutwa.
 
Kodi zetu zinatumika kindezi sana.
Wanataka na wake zao não wapewe mafao kwa Kazi ya kuwatandikia vitanda wanapokuwa kwenye hivyo vyeo!! Yaani wanataka mume wa Samia pia bwana Hafidh nae atengewe fungu lake mkewe atakapoondoka ofisin!!! Wanalipwa fedha nyingi kama mshahara na pension yao nzuri bado wanataka kukamua damu ya wananchi kwa kujilimbikizia mafao!! Wafanyakazi wakiomba nyongeza ya mishahara wanasema hakuna hela lakini za kuwahonga wenzi wao zinapatikana! Hii ni serikali ya watu dhalimu sana.
 
Hili la uzinzi sijui ulinzi wa wakubwa ni fupa tu
...nimetoka kazini sasa nasoma waliokuwa kazini wakirusha mifupa hii jamvini...ambayo siyasahahu ni...




Bandari imegawiwa
Wamasai wana angamizwa
Upatikanaji wa Petroli na Dizeli ni kwa mbinde
Wana CCM wanarudisha kadi
Laigagwanan mzee bwana Tundu Ole Lissu karudi kwao Ulaya kwenda kutomaswa tomaswa(masaage therapy
Tanesco inahujumiwa, kuandaliwa igawiwe kwa wajomba na mengine ya ajabu ajabu...


Nasikia kuna Wanzuki, nileteeni wanzuki!
 
Back
Top Bottom