Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Ila hawa polisi wetu wanavyofanywa na hawa wanasiasa kama matoi yao vile..
 
Dotto hawezi kuwa waziri mkuu wala rais hzi zote ni target za uchanguzi 2025 kura zote za wasukuma zitaenda kwa mama wakidhani mama 2030 atamwachia dotto kijiti... siasa bhana
 
Ndio Maana hawataki Katiba Mpya.
 
Huyu Mheshimiwa huwa hana makuu kabisaaa. Hapo ni amelazimika. Nahisi ni mipango ya wanausalama wa viongozi, ila si matakwa yake. Mchapakazi wetu Mungu azidi kumtangulia, aje aongoze nchi kabisa.
 
Badala ya kuwa na askari wote hao kifaru kimoja kingetosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…