Joseph Kasa-Vubu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 356
- 550
Kazi za Dotto ni zipi? Nielewesheni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Mambo.Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..
Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142
Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo
View attachment 2748144
Na hii nyingine..
View attachment 2748150
Ulinzi unatokana na nafasi yake, gharama kiasi gani kwenye ulinzi wa mtu! Kwa majukumu aliyokabidhiwa leo hii Mhe. Biteko kwa njia moja ama nyingine anasimamia mawaziri wenzake, binadamu wameumbwa na hulka na mioyo tofauti, rejea malalamiko ya JPM kutaka kuondolewa na wenzake. Biteko ataleta impact kubwa sana kwenye maendeleo ya nchi hii, mark my words.Dr Mambo.
Kuna kitu labda wengi au wachace hatuifahamu. Ukishakuwa kiongozi siyo ila kitu utakuwa nacho huru.
Hakuna sehemu yoyote duniani ambayo viongozi hawana ulinzi ,Sweeden waziri mkuu Palme kama sitokuwa nimekosea jina hakuwa na alinzi na kilimkuta RIP. Hawa huwa wanatoa maamuzi mengi ambayo kuna mengine huwachukiza watu na mengine huwafurahisha watu hivo ulinzi kwo ni muhimu sana. Pili siyo wao wanaotaka ulizni wa watu wangapi au kukubali au kuukataa ni kuna kikosi maalum cha ulizni wa viongozi ndicho chenye jukumu la kuwalinda kulingana na wanavyoona inafaa.
Unaweza kuiona wakati mwingine kama walinzi hawapo ila siyo mara zote mpaka uone wamevaa suti au kaunda suti na ear phone sikioni. Wapo unaoweza wagundua kwa mavazi ila wapo wengine ambao huwezi watambua . Kuna advance team na ile ambayo anakuja nayo kiongozi.
Hivo Naibu Waziri Mkuu siyo takwa lake bali ni kutokana na Cheo chake hicho ndicho kilichofanya apewe ulinzi.
Wenye kufahamu haya mambo watakuja nisaidia zaidi ila huu ndiyo ukweli tutake tusitake Kiongozi ni kiongozi tu hawezi kuwa sawa na mimi au wewe zaidi kwa Mungu pekee sote ni sawa.
Mleta mada ni moja ya wale Biteko(Mbunge) alisema kuwa Kuna watu hawawapendi watu weusi tu Hata ufanyeje watakuchukia tu, Sasa dawa Yao anasema ni kuwapenda, hakuna haja ya "kuwasagasaga na kuwafanya juice".Hao walinzi sio wanapangiwa na kitengo Cha ulinzi wa viongozi?
Mkuu nashukur Sana kuelezea kwa hoja kamilifu lakini kulikuwa na haja gani ya walinzi kuwa wengi waliovaa uniform najua protocol za ulinzi zilivyo ila....Dr Mambo.
Kuna kitu labda wengi au wachace hatuifahamu. Ukishakuwa kiongozi siyo ila kitu utakuwa nacho huru.
Hakuna sehemu yoyote duniani ambayo viongozi hawana ulinzi ,Sweeden waziri mkuu Palme kama sitokuwa nimekosea jina hakuwa na alinzi na kilimkuta RIP. Hawa huwa wanatoa maamuzi mengi ambayo kuna mengine huwachukiza watu na mengine huwafurahisha watu hivo ulinzi kwo ni muhimu sana. Pili siyo wao wanaotaka ulizni wa watu wangapi au kukubali au kuukataa ni kuna kikosi maalum cha ulizni wa viongozi ndicho chenye jukumu la kuwalinda kulingana na wanavyoona inafaa.
Unaweza kuiona wakati mwingine kama walinzi hawapo ila siyo mara zote mpaka uone wamevaa suti au kaunda suti na ear phone sikioni. Wapo unaoweza wagundua kwa mavazi ila wapo wengine ambao huwezi watambua . Kuna advance team na ile ambayo anakuja nayo kiongozi.
Hivo Naibu Waziri Mkuu siyo takwa lake bali ni kutokana na Cheo chake hicho ndicho kilichofanya apewe ulinzi.
Wenye kufahamu haya mambo watakuja nisaidia zaidi ila huu ndiyo ukweli tutake tusitake Kiongozi ni kiongozi tu hawezi kuwa sawa na mimi au wewe zaidi kwa Mungu pekee sote ni sawa.
Kwani hawezi kukataa hilo rundo la walinzi? Kama kweli si mpenda makuu?Huyu Mheshimiwa huwa hana makuu kabisaaa. Hapo ni amelazimika. Nahisi ni mipango ya wanausalama wa viongozi, ila si matakwa yake. Mchapakazi wetu Mungu azidi kumtangulia, aje aongoze nchi kabisa.
Acha wivu, NPM kujiamulia watu wa kumlinda au idara yenyewe ya usalama ndio imetoa hao walinda usalama wa viongozi! Nchi hii inamambo mengi ya kushauri na rais kasema anaona ushauri unaotolewa kupitia kikosi chake kwa jumbe za kushauri serikali kupitia mitandao ya kijamii. Hadi kulindwa kiongozi tunahoji unajua anachowaza aliyenyuma au mbele yako kuhusu wewe? Vijana ndio maana tutaitwa taifa la kesho mpaka mileleNaona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..
Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142
Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo
View attachment 2748144
Na hii nyingine..
View attachment 2748150
[emoji23][emoji23]Mkuu, labda Rais wa marekani ya kwa Msisi.
Sijahoji kuhusu kiongozi kulindwa nachowaza ni kuhusu Aina ya ulinzi na hasa wingi wa rasilimali watu katika ulinzi maana haiwezekani DPM kulindwa na watu 20....Acha wivu, NPM kujiamulia watu wa kumlinda au idara yenyewe ya usalama ndio imetoa hao walinda usalama wa viongozi! Nchi hii inamambo mengi ya kushauri na rais kasema anaona ushauri unaotolewa kupitia kikosi chake kwa jumbe za kushauri serikali kupitia mitandao ya kijamii. Hadi kulindwa kiongozi tunahoji unajua anachowaza aliyenyuma au mbele yako kuhusu wewe? Vijana ndio maana tutaitwa taifa la kesho mpaka milele
🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23]
Mkuu, why kwa Msisi? [emoji1787][emoji1787]
Atakuwa anatoka Handeni huyo kapakumbuka kwao kwenye uchawi kama nini[emoji23][emoji23]
Mkuu, why kwa Msisi? [emoji1787][emoji1787]
Napafahamu sana huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee kwa Msisi ni wachawi ile mbaya [emoji23][emoji23]Atakuwa anatoka Handeni huyo kapakumbuka kwao kwenye uchawi kama nini
Napajua sana huko kwa msisi uchawi ndo hadi yaoNapafahamu sana huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Ok hapo nimekuelewa Kiongozi swali zuri labda wataalam watakuja kutusaidiaMkuu nashukur Sana kuelezea kwa hoja kamilifu lakini kulikuwa na haja gani ya walinzi kuwa wengi waliovaa uniform najua protocol za ulinzi zilivyo ila....
Kulikuwa na haja gani ya kuweka ulinzi wa Watu zaidi ya 10 kwenye eneo kma hilo kwanini asitumie Hiyo ulossma wewe advance team ambazo hawaonekani na wala huwez kujua kama wapo..?
Walishindwa nini kuficha au lengo kutengeneza attention kwa wananchi??
[emoji23][emoji23]Napajua sana huko kwa msisi uchawi ndo hadi yao
Huko sio pa kugusa[emoji23][emoji23]
Hadi vitoto vidogo vichawi ile mbaya [emoji23][emoji23]