Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Sijasema kwamba hamjui kitu nachosema ni kitu kimoja...kama umesoma nilichokuandikia hapo juu utakuabaliana na mimi kwamba muamuzi wa nani aongezewe walinzi lazma uamuliwe na waziri mkuu...
Sasa kama waziri mkuu Kalindwa na Walinzi wengi hii inamaanisha yeye ndio alieagiza kifanyike hicho kilichofanyika .....

Wananchi mjue kutofautisha kati na CHUKI na UZALENDO uzalendo sio kusifia uzalendo ni kuwa na Uchungu na nchi yako na unapoona kitu hakijakaa sawa unapaswa kukikemea..

Kingine umesema sijui kuibuka Jf nimejoin Jf huenda kipindi hicho ulikuwa kindergarten nadhani au kama sikosei nahisi ulikuwa secondary au primary so stop using kuibuka wakati kujoin Jf umejoin 2018..
Tumia akili unaposoma comment,nimesema kuibuka na kujiita DR sijasema kuibuka kujoin lini JF halafu wewe unaonekana ni mtoto wa juzi tu,kama kwako kuona kua 2018 mtu kua Secondary ni mbali sana basi una tatizo,nimejoin JF toka inaanza ila nimeanzisha ID nyingine kwa lengo maalum,halafu ni nani kakuaminisha kua umri wa mtu hupimwa kwa kuangaliwa kua amejoin JF lini? so wale wote ambao sio member wa JF ni wadogo kwako kiumri?

Kujiita DR ndio unajiona wewe ni mkubwa humu sio? acha kudhalilisha tittle ya DR tena niwaombe JF wapige marufuku watu kuweka tittle kwenye ID zao,kama na wewe ni DR kweli basi taifa lina safari ndefu sana,unaambiwa kua ulinzi wa viongozi hupangwa na walinzi wenyewe kutokana na taarifa za kiintelijensia walizo nazo ila unakomaza fuvu eti mzalendo.
 
Ni Kweli naweza kubaliana nawe ni kama ulinzi umezidi,

Lakini kusema amejimilikisha Si sawa,

Unaanzaje bila ruksa Toka juu,

Nahisi wanafanya kusudi Ili MP aonekane hafai, Si unajua tena uswahili!!

Uswahili unaingiaje hapo? Unataka uzungu kwenye nchi ya waswahili?

Mmeaminishwa uswahili ni mbaya sasa mnajitukana wenyewe without a 2nd thought.
 
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...

Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..

Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142

Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo

View attachment 2748144

Na hii nyingine..
View attachment 2748150
Ebwana ee au sio
 
Nchi nyingi za Afrika ni za kishetani sababu vitu wanavyofanya utadhani ni mahayani ndo maana wazungu wanaliita bara la Afrika ni black Continent.
 
Uswahili unaingiaje hapo? Unataka uzungu kwenye nchi ya waswahili?

Mmeaminishwa uswahili ni mbaya sasa mnajitukana wenyewe without a 2nd thought.
Duh!

Naona unamvuto wa aina fulani kwa majibu unayotoa, nami nashindwa kutovutwa kwa jinsi majibu hayo yalivyo.

Wewe umeingiza "Uzungu", sijui umeutoa wapi, kwa nini usiwe uchina au uarabu?
Ina maana na wewe "umeaminishwa" kuwa kuna uzungu, siyo, na kwamba uzungu unaaminiwa kuwa mzuri. Wewe hili umelitoa wapi?
 
Mbona ndiyo gari ambazo zinatumika kwa sasa? Hapo mimi sioni shida prado nazo ni gari na zina speed mno. Escort ni gari inayowabeba walinzi na wanambinu zao wanazojua namna ya kushuka kw haraka ni mafunzo wameshapitia tafuta clips kwenye mitandao utaona namna walinzi duniani wanavyoshuka kwenye gari kama aina hizo. Pili hizo gari zimewaficha hivo huwezi jua wapo walinzi wa namna gani wangapi na wapoje. Cha msingi ni wapo fiti? na gari la kiongozi lipo sawa?
Jina hilo....linanikumbusha 007....
 
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...

Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..

Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142

Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo

View attachment 2748144

Na hii nyingine..
View attachment 2748150
Vina Muda basi ndugu yangu..

Wataumbuka Vibaya. Yote hii ni kumlazimisha KMK ajitoe.

Hatokii..
 
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...

Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..

Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142

Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo

View attachment 2748144

Na hii nyingine..
View attachment 2748150
Hizi ni mbinu za kuwazubaisha Watanganyika wasahau Bandari yao,Misitu yao ......
 
Duh!

Naona unamvuto wa aina fulani kwa majibu unayotoa, nami nashindwa kutovutwa kwa jinsi majibu hayo yalivyo.

Wewe umeingiza "Uzungu", sijui umeutoa wapi, kwa nini usiwe uchina au uarabu?
Ina maana na wewe "umeaminishwa" kuwa kuna uzungu, siyo, na kwamba uzungu unaaminiwa kuwa mzuri. Wewe hili umelitoa wapi?

"Nahisi wanafanya kusudi Ili MP aonekane hafai, Si unajua tena uswahili!!"

Wewe kuuona uswahili ni mbaya na race zingine takatifu ni uzwazwa grade A1. Hakuna race nyingine inajitukana na kusifia nyingine zaidi yenu wamatumbi.
 
Tumia akili unaposoma comment,nimesema kuibuka na kujiita DR sijasema kuibuka kujoin lini JF halafu wewe unaonekana ni mtoto wa juzi tu,kama kwako kuona kua 2018 mtu kua Secondary ni mbali sana basi una tatizo,nimejoin JF toka inaanza ila nimeanzisha ID nyingine kwa lengo maalum,halafu ni nani kakuaminisha kua umri wa mtu hupimwa kwa kuangaliwa kua amejoin JF lini? so wale wote ambao sio member wa JF ni wadogo kwako kiumri?

Kujiita DR ndio unajiona wewe ni mkubwa humu sio? acha kudhalilisha tittle ya DR tena niwaombe JF wapige marufuku watu kuweka tittle kwenye ID zao,kama na wewe ni DR kweli basi taifa lina safari ndefu sana,unaambiwa kua ulinzi wa viongozi hupangwa na walinzi wenyewe kutokana na taarifa za kiintelijensia walizo nazo ila unakomaza fuvu eti mzalendo.
Asante mkuu uko sahihi kabisa na nashukuru kwa maoni yako and sometimes its Best to agree to disagree on some kind of matter....
I seize my arguments kwako...

And nikukumbushe My arguments doesnt concern about my proffesional life or any of my Physical life maana naona umekuwa ukiattack my Character more than the discused agenda...
Nimetoa points on how viongozi wanapsts ulinzi kwanini usipinge hoja hizo kuliko kuja na character assasination..

Kama unaona doctorate ni kazi rahisi nenda na wewe uipate ili uje uwatukane walioipata.....
By the way Kazi njema mjukuu wangu...
 
Huelewi hata unachokiandika hapa,kwahiyo wewe kuniletea issue sijui eti wakati wewe unajiunga JF mimi nilikua Kindergarten sio personal attack? Ndio mada hiyo ulijadili hapo?

Hakuna mjukuu wako hapa pimbi wewe,JF unapokewa kama unavyokuja,ukiheshimu watu utaheshimiwa,ukileta dharau utapata unachokitaka,wewe ni kakijana kasikojielewa ila kanajiaminisha ni kakubwa kuliko hata watu ambao hakawajui,

Next time tanguliza heshima unapoquote comment zangu.
 
Back
Top Bottom