The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Tumia akili unaposoma comment,nimesema kuibuka na kujiita DR sijasema kuibuka kujoin lini JF halafu wewe unaonekana ni mtoto wa juzi tu,kama kwako kuona kua 2018 mtu kua Secondary ni mbali sana basi una tatizo,nimejoin JF toka inaanza ila nimeanzisha ID nyingine kwa lengo maalum,halafu ni nani kakuaminisha kua umri wa mtu hupimwa kwa kuangaliwa kua amejoin JF lini? so wale wote ambao sio member wa JF ni wadogo kwako kiumri?Sijasema kwamba hamjui kitu nachosema ni kitu kimoja...kama umesoma nilichokuandikia hapo juu utakuabaliana na mimi kwamba muamuzi wa nani aongezewe walinzi lazma uamuliwe na waziri mkuu...
Sasa kama waziri mkuu Kalindwa na Walinzi wengi hii inamaanisha yeye ndio alieagiza kifanyike hicho kilichofanyika .....
Wananchi mjue kutofautisha kati na CHUKI na UZALENDO uzalendo sio kusifia uzalendo ni kuwa na Uchungu na nchi yako na unapoona kitu hakijakaa sawa unapaswa kukikemea..
Kingine umesema sijui kuibuka Jf nimejoin Jf huenda kipindi hicho ulikuwa kindergarten nadhani au kama sikosei nahisi ulikuwa secondary au primary so stop using kuibuka wakati kujoin Jf umejoin 2018..
Kujiita DR ndio unajiona wewe ni mkubwa humu sio? acha kudhalilisha tittle ya DR tena niwaombe JF wapige marufuku watu kuweka tittle kwenye ID zao,kama na wewe ni DR kweli basi taifa lina safari ndefu sana,unaambiwa kua ulinzi wa viongozi hupangwa na walinzi wenyewe kutokana na taarifa za kiintelijensia walizo nazo ila unakomaza fuvu eti mzalendo.