Uchizi ni kuweka tafsiri yako kwenye yaliyoandikwa, n kudhani tafsiri yako ndiyo sahihi.
Hakuna palipozungumziwa 'uzungu', lakini wewe hukuona tatizo kuweka tafsiri yako juu yake.
Hata katika huo 'uswahili', wewe unataka kuaminisha kuwa hakuna mambo ya kipuuzi kwa vile tu ni ya "uswahili"?
Na hata kama 'uzungu', uchina, uarabu ungezungumziwa, ni kipi ambacho kingekuaminisha kuwa hakuna mambo ya hovyo katika hao?
'Of course' kuna mambo ya kipuuzi mengi sana katika uswahili, ambayo mtu mwenye akili timamu asingependa kuwa sehemu ya uswahili huo.