Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Huelewi hata unachokiandika hapa,kwahiyo wewe kuniletea issue sijui eti wakati wewe unajiunga JF mimi nilikua Kindergarten sio personal attack? Ndio mada hiyo ulijadili hapo?

Hakuna mjukuu wako hapa pimbi wewe,JF unapokewa kama unavyokuja,ukiheshimu watu utaheshimiwa,ukileta dharau utapata unachokitaka,wewe ni kakijana kasikojielewa ila kanajiaminisha ni kakubwa kuliko hata watu ambao hakawajui,

Next time tanguliza heshima unapoquote comment zangu.
Mkuu i rested my case unless kama umetumwa!
 
"Nahisi wanafanya kusudi Ili MP aonekane hafai, Si unajua tena uswahili!!"

Wewe kuuona uswahili ni mbaya na race zingine takatifu ni uzwazwa grade A1. Hakuna race nyingine inajitukana na kusifia nyingine zaidi yenu wamatumbi.
Uchizi ni kuweka tafsiri yako kwenye yaliyoandikwa, n kudhani tafsiri yako ndiyo sahihi.
Hakuna palipozungumziwa 'uzungu', lakini wewe hukuona tatizo kuweka tafsiri yako juu yake.

Hata katika huo 'uswahili', wewe unataka kuaminisha kuwa hakuna mambo ya kipuuzi kwa vile tu ni ya "uswahili"?

Na hata kama 'uzungu', uchina, uarabu ungezungumziwa, ni kipi ambacho kingekuaminisha kuwa hakuna mambo ya hovyo katika hao?

'Of course' kuna mambo ya kipuuzi mengi sana katika uswahili, ambayo mtu mwenye akili timamu asingependa kuwa sehemu ya uswahili huo.
 
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...

Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..

Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142

Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo

View attachment 2748144

Na hii nyingine..
View attachment 2748150
 
Carry on.
 
Ye mwenyewe ndio yuko wapi hapo mi hata simjui naona tu watu wengi wamevaa suti😕
 
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...

Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..

Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
View attachment 2748142

Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo

View attachment 2748144

Na hii nyingine..
View attachment 2748150
Sasa nchi ya amani kama hii ulinzi wote huo wa nini hata Rais wa marekani hana ulinzi huo
Unafanya masihala na ulinzi wa Rais wa Marekani wewe, Hukuwepo wakati Bush Junior na Obama wanafanya Trip to tanzania?
Safari yoyote ya POTUS ni Mission ya Kivita na inakuwa analysed na assessed Full mzee
 
Back
Top Bottom