GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Msisahau kumchangia Mh Tundu Lissu.. Kila mwenye mapenzi mema na nchi yake, achange wajameni. Campaign inahitaji hela, ili ifane.
Hata Kama kura za Lowassa zingejaa na kufurumia,Urais nng'ooMimi wala sihangaiki na umati. Nahangaika na wanachosema wagombea. Umati au nyomi haukumpa urais Mzee wetu Lowassa.
Mgombea mwenza ni jambo la muungano,bara na visiwani..isingewezekama mgombea uraisi na mgombea mwenza watoke sehemu moja yaani bara tu.Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu ( Mtanzania ) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake ( yangu ) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa ( Chimbukoni ) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baia ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.
Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Siasa so uadui tafadhali
Mgombea mwenza ni jambo la muungano,bara na visiwani..isingewezekama mgombea uraisi na mgombea mwenza watoke sehemu moja yaani bara tu.
Ndoto nzuriLowasa alishinda, magufuli alitangazwa, Ata mwaka huu, Lissu atashinda, Magu Atatangazwa. #NiyeyE2020.
Tunachosubiri ni maamuzi ya Lissu pale ataposhinda na asitangazwe.
Kikatiba kabisa ndo uangalie ilivyo sasa,wagombea uraisi wote kutoka bara,wagombea wenza wote wametoka zenjiHili liko 'Kikatiba' au 'Kikanuni' zaidi? Nasubiri Jibu langu upesi sana tafadhali.
Ukweli ni huu uliondika Lowasa kaumiza wengi sijui Zitto aliwaza nini kumchukua Membe nadhani amecheza karata nzuri kwenye wakati mBayaMkuu muamko wa siasa umepungua sanaaa mkoa wa Lindi tangu CUF ife hapa, kwaiyo sio kwa Membe tu hata wengine wakija hawatopata nyomi, Lindi kwa sasa kwenye watu 10 ukiwauliza basi 6 au 7 watakuambia hawapigi kura, Mkuu Lowassa kawaumiza watu sanaaaa
Nahisi "kaka Yake" kamdanganya.Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu ( Mtanzania ) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake ( yangu ) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa ( Chimbukoni ) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baia ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.
Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Ukweli ni huu uliondika Lowasa kaumiza wengi sijui Zitto aliwaza nini kumchukua Membe nadhani amecheza karata nzuri kwenye wakati mBaya
Mimi wala sihangaiki na umati. Nahangaika na wanachosema wagombea. Umati au nyomi haukumpa urais Mzee wetu Lowassa.
Akishatangazwa mtu, Polisi na Jeshi vinaingia kazini. Lissu asipotangazwa hawezi kufanya chochote. Hata Maalim Seif alirukaruka mpaka United Nations na hakutoboaTunachosubiri ni maamuzi ya Lissu pale ataposhinda na asitangazwe.
Umoja wao una mchango gani kwa maendeleo ya taifa letu ?Membe alituaminisha kuwa kuna makada watano wabobezi from CCM wapo behind the scene, lakn mpak sa hv ni hollaa anafight alone agaist a well organised CCM.
Tatizo la CCM huwa wana umoja Sana linapokuja suala la uchaguz , umoja ni silaha kubwa Sana kweye masuala yyte ya kivita, hii infanya mifumo yote ya nchi inaelekezwa kuifavour CCM , kuanzia vyombo vya usalama, asasi za kiraia , matajiri wakubwa , mashirika binafs na ya uma, katika mazingira haya ni ngumu Sana kutoboa kwa mpinzan.
Kwa sasa mwamko wa upigaji kura ni kama haupo hasa maeneo ya mijini watu kama Wana harakat zao za maisha tofaut na 2015 , hii inaonyesha CCM wanashinda asubhi tuu, ...... Kama ni suala la nyomi hakuna anayeweza vunja rekodi ya Lowassa
Membe alituaminisha kuwa kuna makada watano wabobezi from CCM wapo behind the scene, lakn mpak sa hv ni hollaa anafight alone agaist a well organised CCM.