Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Msisahau kumchangia Mh Tundu Lissu.. Kila mwenye mapenzi mema na nchi yake, achange wajameni. Campaign inahitaji hela, ili ifane.

Alipokuwa tu anataka kuwa Rais wetu na 'Kugombea' alikuwa hajui kuwa kuna Suala la Yeye na Chama chake kuwa na Uwezo mkubwa wa Kipesa?
 
Chadema walihabgaika kumpata maalimu Seif na nkundi lake ili kujiimalisha zanzibar lakini anaonekana kuna agenda au malengo genge la mwalimu seif wanavyo ambapo wameona ndani ya Chadema malengo yao yatakuwa dissolved kama sio udini basi muungano other wise tungetoa chama kikubwa cha siasa kama ccm hivyo ndoto yakuwa na vyama viwili vya siasa ingetimia
 
Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu ( Mtanzania ) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake ( yangu ) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa ( Chimbukoni ) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baia ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.

Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Mgombea mwenza ni jambo la muungano,bara na visiwani..isingewezekama mgombea uraisi na mgombea mwenza watoke sehemu moja yaani bara tu.
 
Mgombea mwenza ni jambo la muungano,bara na visiwani..isingewezekama mgombea uraisi na mgombea mwenza watoke sehemu moja yaani bara tu.

Hili liko 'Kikatiba' au 'Kikanuni' zaidi? Nasubiri Jibu langu upesi sana tafadhali.
 
Mkuu muamko wa siasa umepungua sanaaa mkoa wa Lindi tangu CUF ife hapa, kwaiyo sio kwa Membe tu hata wengine wakija hawatopata nyomi, Lindi kwa sasa kwenye watu 10 ukiwauliza basi 6 au 7 watakuambia hawapigi kura, Mkuu Lowassa kawaumiza watu sanaaaa
Ukweli ni huu uliondika Lowasa kaumiza wengi sijui Zitto aliwaza nini kumchukua Membe nadhani amecheza karata nzuri kwenye wakati mBaya
 
Mpaka hivi leo nawaza na ninamtafuta huyu Mtu ( Mtanzania ) aliyemdanganya kabisa wazi wazi Bernard Membe kuwa ana 'Mvuto' wa 'Kisiasa' na kwamba 'akigombea' Urais nchini Tanzania kwa Kushindana na 'Mwamba wa Chato' Rais Dkt. John Magufuli na CCM yake ( yangu ) anaweza 'Kumshinda' na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama kuna Mtu aliyeona Mkutano wake wa Kampeni Bernard Membe tena Mkoani Kwake kabisa ( Chimbukoni ) huko Lindi na kwa ule Umati 'Kiduchu' alioupata ni kheri tu angejiunga na CHADEMA au kungekuwa na Makubaliano 'Maalum' baia ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ili Yeye ( Membe ) awe Mgombea Mwenza wa Tundu Lissu kidogo kungekuwa na 'Ushindani' wa uhakika wa Kisiasa.

Watanzania siyo Mangumbaru na Mapopoma yaani 'Wamchague' Mtu ambaye hata Kwao tu 'hakubaliki' kivile na wala hana 'Mvuto' ule wa Kisiasa.
Nahisi "kaka Yake" kamdanganya.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni huu uliondika Lowasa kaumiza wengi sijui Zitto aliwaza nini kumchukua Membe nadhani amecheza karata nzuri kwenye wakati mBaya

Kuna Mtu Mmoja umemtaja hapa Mkuu Yeye ana Sifa Kuu mbili ya Kwanza ni ya 'Unafiki' uliotukuka na ya Pili ni 'Upumbavu' uliomkomaa hasa pia.
 
Aliibiwa, yeye na Maalim Self kama haujui. Na hawa nao hata wakishinda wataibiwa tu. Kinachohitajika ni Tume huru ya uchaguzi.
Mimi wala sihangaiki na umati. Nahangaika na wanachosema wagombea. Umati au nyomi haukumpa urais Mzee wetu Lowassa.
 
Tunachosubiri ni maamuzi ya Lissu pale ataposhinda na asitangazwe.
Akishatangazwa mtu, Polisi na Jeshi vinaingia kazini. Lissu asipotangazwa hawezi kufanya chochote. Hata Maalim Seif alirukaruka mpaka United Nations na hakutoboa

Lissu asisubiri mpaka kushinda na kutotangazwa na NEC. Kajiaandaaje kuratibu uhesabuji wa kura zake kutoka kwenye kila kituo?
 
ni aibu kung'ang'ania urais akati hukubaliki, ni bora hata lissu analeta amsha amsha, huyu mzee akalime zake tu korosho baada ya uchaguzi.
 
Membe alituaminisha kuwa kuna makada watano wabobezi from CCM wapo behind the scene, lakn mpak sa hv ni hollaa anafight alone agaist a well organised CCM.
Tatizo la CCM huwa wana umoja Sana linapokuja suala la uchaguz , umoja ni silaha kubwa Sana kweye masuala yyte ya kivita, hii infanya mifumo yote ya nchi inaelekezwa kuifavour CCM , kuanzia vyombo vya usalama, asasi za kiraia , matajiri wakubwa , mashirika binafs na ya uma, katika mazingira haya ni ngumu Sana kutoboa kwa mpinzan.

Kwa sasa mwamko wa upigaji kura ni kama haupo hasa maeneo ya mijini watu kama Wana harakat zao za maisha tofaut na 2015 , hii inaonyesha CCM wanashinda asubhi tuu, ...... Kama ni suala la nyomi hakuna anayeweza vunja rekodi ya Lowassa
Umoja wao una mchango gani kwa maendeleo ya taifa letu ?
Kama umoja wao ccm ni umoja ambao una aim kuwadidimiza zaidi watanzania basi wana umoja wa kipumbavu sana.
 
Wote hawa Membe, Lowassa, Sumaye nguvu zao zilikuwa ndani ya ccm kwani ccm ina kila kitu kuanzia rasilimali pesa, watu na mtandao mkubwa pamoja na dola nje ya ccm hamna kitu tuliona Lowassa alivyoaminisha watu kuwa yeye lazima awe rais leo yuko wapi sanasana amefaulu kumfanya mwanae awe mgombea ubunge
 
Membe alituaminisha kuwa kuna makada watano wabobezi from CCM wapo behind the scene, lakn mpak sa hv ni hollaa anafight alone agaist a well organised CCM.

Tatizo la CCM huwa wana umoja Sana linapokuja suala la uchaguz , umoja ni silaha kubwa Sana kweye masuala yyte ya kivita, hii infanya mifumo yote ya nchi inaelekezwa kuifavour CCM , kuanzia vyombo vya usalama, asasi za kiraia , matajiri wakubwa , mashirika binafs na ya uma, katika mazingira haya ni ngumu Sana kutoboa kwa mpinzan.

Kwa sasa mwamko wa upigaji kura ni kama haupo hasa maeneo ya mijini watu kama Wana harakat zao za maisha tofaut na 2015 , hii inaonyesha CCM wanashinda asubhi tuu, ...... Kama ni suala la nyomi hakuna anayeweza vunja rekodi ya Lowassa

Mkuu unaposema ccm huwa na umoja wakati wa uchaguzi sio kweli umoja huu unausema ni kwa kipindi hichi cha 5 huko nyuma baada ya kura za maono ccm ilisambaratika vibaya hata kufikia baadhi yao kujiunga ipinzani wakati huu kilichopo sio umoja bali ni woga na hofu ya kuhukumiwa iwapo mtu atadhihirika hasira zao zipo moyoni zimevimba utaziona 28
 
Back
Top Bottom