Uchaguzi 2020 Kwa Umati ule 'Kiduchu' wa kampeni ya Bernard Membe tena 'Kwao' Mkoani Lindi ni bora tu angeungana na Tundu Lissu na awe Mgombea Mwenza wake

Hivi hujui hata mgombea mwenza anatakiwa awe na sifa zipi?halafu unajiona upo sahihi...

Kwani 'Katiba' ni 'Msahafu' mpaka usiwe na Mabadiliko ya 'Kikanuni' na 'Kiutaratibu' pale inapobidi kulingana na 'Mazingira' husika? Hebu msinikere!
 
Hilo ni kweli mkuu na kuna wengine wanapenda kukusanyika sehemu yenye watu wengi na wengine wanachukulia ni sehemu ya kwenda kujichanganya wengine ngoja na mimi nikashangae maana sina kazi ya kufanya.
Wapiga kura wengi ni kinamama na Kina Baba wa vijijini. Watu wenye utayari wa kuamka saa kumi na moja alfajiri na kwenda kupanga foleni.

Hawa masharobaro wenye kuvaa jeans za kubana na kufuga vinywele wengi sio wapiga kura.
 
Wewe nyumbu kweli, hujui hata sheria ya uchaguzi. Mgombea mwenza anatoka sehem moja ya Muungano na mgombea urais?

Ndio maana mpo kushangilia tu ujinga mnaolishwa na mgombea urais wenu na kuamini atashinda mropokaji yule

Pumbavu.
 
2025 kwa CCM atawekwa muislam ( anaweza kutokea Zanzibar pis akiwepo ).
Tatizo humu kumejaa sana vitoto vya mwaka 2000

Unaweza kukuta hao unaowadharau hapa hadi kuwaita 'Vitoto' ndiyo wakawa 'Hawara' wakubwa wa aliyekuleta hapa duniani na 'Upopoma' wako.
 
Huyu jamaa ni kama vishankupe fulani vya baani. Childish

Unaweza kukuta hao unaowadharau hapa hadi kuwaita 'Vitoto' ndiyo wakawa 'Hawara' wakubwa wa aliyekuleta hapa duniani na 'Upopoma' wako.
 
Uko sahihi tena kwa 100% na Mimi mpaka hii Leo najiuliza tu ni nani 'aliwadanganya' Watanzania kuwa huyu ni 'Jasusi' hatari kwa hapa Tanzania?
Asingerudi lissu MEMBE angekuwa hatari sana ila Ujio wa lissu ni hatari zaidi kwani hata jiwe litapasuka vipande vipande na linajua ila linajikaza kisabuni 😁😁😁
 
Mimi wala sihangaiki na umati. Nahangaika na wanachosema wagombea. Umati au nyomi haukumpa urais Mzee wetu Lowassa.
Umati ulimpa kura sema Lubuva akapindua meza, unakumbuka alichofanya Jecha?
 
Hivi kweli kama uko timamu unaweza mpa kura yako Jiwe? Au anashinda kwa kutumia tume uchwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi niseme tu kuwa kama membe kwenda upinzani ilikuwa njama ya fisiemu basi walibugi, hana mvuto wowote. Kama yeye (Membe) alikuja upinzani kwa hiyari yake akijua kuwa ako na mvuto basi alibugi pia. Kwa kifupi hasaidii fisiume wala upinzani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Jiwe ni mjanja, hivi unaweza kuwa timamu na ukaweka matumaini kwa jiwe??
 
Hilo ni kweli mkuu na kuna wengine wanapenda kukusanyika sehemu yenye watu wengi na wengine wanachukulia ni sehemu ya kwenda kujichanganya wengine ngoja na mimi nikashangae maana sina kazi ya kufanya.
Mkuu kwa nini hawaendi kwa fisiemu mpaka waweke tamasha la mziki?
 
Umati unadanganya wagombea. Pale wengine ni wezi wa simu, wengine pale ni sehemu za kupata wachumba, wengine wanakwenda kushangaashangaa kila wanachokiona.
Nadhani hawa walikua wanaenda kuiba simu na mikufu ya wakina Mama.
 
Unaweza kukuta hao unaowadharau hapa hadi kuwaita 'Vitoto' ndiyo wakawa 'Hawara' wakubwa wa aliyekuleta hapa duniani na 'Upopoma' wako.
Zungumza na mimi waliinileta hapa duniani hawako humu JF na hawakuhusu.

Naona hutulii kama kuku anayetaka kutaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…